Ushauri: Mpenzi wangu amenisaliti

nzara

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Naomba ushauri dem wangu nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti sasa mm imenichanganya naomba ushauri wenu nimteme au japo amekili kosa na anaomba kusamehewa!!!
 

Siku ukute kalaliwa kifuani live ukuje hapa tukupe ushauri.
 
Kwa mpongeze ana kumbuka kutumia kinga, pili piga chini bro...
 

First, what is your gender? Second, if you are a male, why do you identify yourself with a female avatar?.
 

Mlikubaliana wawili na mkapendana wawili ,na ukumbuke kuchepuka huko chanzo waweza kuwa wewe hivyo kaeni chini myamalize
Na siku zote matatizo huanza ndani mwanamke anapoanzwa humizwa na mume, na amani ndani hupotea mke anapoanza kuhuzunika
tatua tatizo hilo ukimwacha ukasema utafte mwingne unaweza pata gubegube na ukaanza kumkumbuka wa zamani
 
Kimbia toka nduki Weee kimbia isije jumba bovu likakuangukia.
 

picha yako nzuri dada.
 
...kama wewe humtaki nirushie mie....wewe unataka wa peke yako kwanini umemuumba wewe...watu tunatafuta hata wa kusuuza rungu tunakosa...
 
Kama unaona hakufai sepa....

Kama unakifua cha kubanana na wenzio komaa nae...kwanza si ni demu tu
 
kama hauna malengo nae piga chini....
 
wewe kama ni mwanaume, mbona unatumia avatar yenye picha ya mwanamke?

 
Ttz hatujui jinsia yako, LGTB(LESIBIAN,GAY,TRANSGENDER AU BISEXUAL)manake avator yako ni ya kike alafu unadai umesalitiwa na demu wako.we vp?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…