mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Hahaha, kweli we mgeni Wa wanaume, wanaume wanajua kupretend had akipate kitu akishapata anakucheka tuu, hapo unakitu ninakuambia hapo anajifanyiza uone kweli alikua anakupenda then mkishakaa vizur atarudisha penz kwa yule mwenye ujauzito kwa kumjulia hali hivyo watakommunicate ata asipoish nae mpaka atakapojifungua ataendelea kumjulia hali mwanae nakutoa matumiz na ata ukifuatilia atakujibu huyu c unamjua nimezaa nae y ujifunge kitanz mapema wakat unaweza kupata mwanaume mwenye kujua dhaman yako, usipokua makin utaleta mrejesho hukuNashukuru kwa ushauri wako . Kiukweli nimevaa ujasiri wa ajabu maana bila Mimi nahisi mpz wangu anaweza kujinyonga au kunywa sumu kwa mawazo...( ni Mbena )..
Muache ajinyonge na hiyo sumu anywe ila hatokuwa mkweli kwako huyo dalili ya mvua ni mawinguNashukuru kwa ushauri wako . Kiukweli nimevaa ujasiri wa ajabu maana bila Mimi nahisi mpz wangu anaweza kujinyonga au kunywa sumu kwa mawazo...( ni Mbena )..
Kaa pembeni uangalie picha linavyoenda, unaweza kuwa unadanganywa aendelee kuwala wote. Utashangaa wanakuja kuzaa na mtoto wa pili unaendelea kumlaumu mwanamke mwenzio wakati huyu mwanaume ndo mtu mbaya... hakufai, acha kulea janga utalia na wa kwenu. Atakosaje maradhi kama analala na watu asiowapenda tena bila kondom, anakujali wewe kweli au hata anajijali mwenyewe?!Imebidi anieleze ukweli wote ndo chanzo cha kujua haya yote
Wewe mwanamke ningekupata Mimi ningefurahi sana
Ni kweli unayosema ndugu yangu ila nimefikia kusema haya kwa vile mwanaume mwenyewe bado ameshikilia msimamo wake uleule kuwa hamtaki na aondoke kwake nami najitahid kumtuliza ili amuondoe taratibu....