iampizooh
Member
- Sep 2, 2017
- 46
- 37
Nina mpenzi wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1 tulivyoenda likizo amebadilka sana hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae basi SMS tano mwisho anasema kazi nyingi.
Tulivyorudi likizo nikakuta SMS za mapenzi kwenye simu yake za kutongozwa na amekubali lakini amekiri kosa.
Nini nifanye wadau wangu naombeni ushauri please.
Tulivyorudi likizo nikakuta SMS za mapenzi kwenye simu yake za kutongozwa na amekubali lakini amekiri kosa.
Nini nifanye wadau wangu naombeni ushauri please.