Ushauri: Mohamed Mchengerwa aondolewe TAMISEMI, hana Uwezo

Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.

..Kikatiba Waziri wa Tamisemi ni Rais mwenyewe, kwasababu Wizara hiyo iko ndani ya Ofisi ya Rais.

..Waziri wa Nchi ni msaidizi wa Waziri / Raisi ktk jukumu husika na hana hadhi sawa na Mawaziri wengine. Kwa maneno sahihi Waziri wa nchi sio Cabinet Minister.

..Kama uchaguzi umeharibika anayestahili lawama kwa kushindwa na Raisi mwenye ambaye ndiye Waziri Kamili wa Tamisemi.
 
Bahati mnaya hujui unaongea nini.

Endelea kuunga mkono majambazi ya kisiasa. Sisi tunahamasishana kuwakataa na ipo siku tunawakataa live
WApi nimeunga mkono majambazi... mkuu labda niulize swali kura ya hapana nani anaihesabu na kuilinda?
 
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.
Mkwe mwenye kifua kipana ataondolewa na nani? Labda aondolewe na uchafuzi wake ufutiliwe mbali na urudiwe kwa kusimamiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
 
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.
Namfikishaaaa mtoto wa Princess....kipenzi roho yake....haguswiiii ....amekubali kuwa mume bwege siku zake zisogeeee
 
Mkuu ni yale yale tu hata angewekwa nani! Kwani aliyeharibu uchaguzi 2019/2020 ni Mchengerwa?
Nadhani alikuwa Jaffo kama sikusahau!
Mtu anayeweza kuharibu Uchaguzi ni Rais wa JMT ambaye yuko juu ya Mamlaka zote! Waziri wa TAMISEMI anaagizwa na kuelekezwa na Rais jinsi ya kuharibu Uchaguzi.
Kwa hiyo Mkwe na Kifua chake kipana hana kosa!!
Na Rais anafanya hivyo kwa maslahii yake binafsi na Chama chake!
 
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.
We naye unakuwa kama Hamnazo kwa hiyo unataka kumlaumu Mchengerwa?

Nyie ndio mnafanya chadema usiaminike.

Kwa hiyo wewe unaona shida ni Mchengerwa?
 
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.
Hivi mbona mm sooni hicho kifua kipana? Yaani naona cha kawaida kibisa au mnamaana zaidi ya hii
 
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi

Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo cha kuwa Waziri wa TAMISEMI

Ushahidi wa uwezo duni wa Mchengerwa uko wazi mno na wala haihitaji tochi ya kichina kuuona.

Natambua kwamba Mchengerwa ni Mkwe wa Rais, ambaye ndiye Mamlaka ya Uteuzi, basi ikiwa ni lazima Mkwe wa Rais awe Waziri ni vema akatafutiwa Wizara nyingine, hata wizara ya fedha au hata aundiwe wizara mpya iwe ya kwake tu, lakini isiwe Tamisemi, Huyu akiendelea kuwa Tamisemi atakuja kuiingiza hii Nchi kwenye Historia isiyofutika milele.
Mama Samia ana uwezo? Mnaangalia mlipoangukia na siyo mlipojikwaa!
 
Back
Top Bottom