mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,151
- 3,067
Mimi Ni Kijana Wa Miaka 25 Nina Eneo(kiwanja) Limepimwa Na Nipo Katika Hatua Za Mwisho Za Kufuatilia Hati,
Nahitaji Kutumia Hati Yangu Kuchukulia Mkopo Ili Niboreshe Frem Za Biashara Zilizopo Katika Eneo Hilo, Kwa Kuzingatia Maendeleo Ya Mtaa Nimegungua Miundombinu Iliyopo Haiwezi Kukidhi Mahitaji Na Pesa Nyingi Zinapotea Kutokana Na Ubovu Wa Miundo Mbinu Hiyo.
Kuhusu Thamani Ya Eneo Langu Sina Shaka Nikilinganisha Na Kiasi Ninachokihitaji. Lakini Kabla Ya Kufanya Hivyo Nimeona Vyema Niombe Ushauri Kwanza Kwa Kuwa Sikuwahi Kujihusisha Na Mikopo Hapo Kabla.
Ili Niweze Kuliendeleza Eneo Hilo Ipasavyo Ninahitaji Tsh16mil(kama Nilivyosema Hapo Awali, Thamani Ya Eneo Ni Zaidi Ya Mara Tatu Ya Hiyo Pesa)
Baada Ya Kufanya Hivyo, Nitapata Pesa(kodi) Si Chini Ya Laki Saba Kwa Mwezi, Na Uwezo Wangu Wa Kuwekeza Ukiongeza Na Vyanzo Vingine Ni Laki5 Kama Malejesho Kwa Mwezi
Nataka Nishauliwe, Kutokana Na Vielelezo Hapo Juu Juu
1)je Inawezekana?
2)nahitaji Ushauri Zaidi Wa Kibenki Na Njia Salama Zaidi
AsanteniSana