USHAURI: Mkopo Wa Benki.

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,151
3,066
Mimi Ni Kijana Wa Miaka 25 Nina Eneo(kiwanja) Limepimwa Na Nipo Katika Hatua Za Mwisho Za Kufuatilia Hati,

Nahitaji Kutumia Hati Yangu Kuchukulia Mkopo Ili Niboreshe Frem Za Biashara Zilizopo Katika Eneo Hilo, Kwa Kuzingatia Maendeleo Ya Mtaa Nimegungua Miundombinu Iliyopo Haiwezi Kukidhi Mahitaji Na Pesa Nyingi Zinapotea Kutokana Na Ubovu Wa Miundo Mbinu Hiyo.

Kuhusu Thamani Ya Eneo Langu Sina Shaka Nikilinganisha Na Kiasi Ninachokihitaji. Lakini Kabla Ya Kufanya Hivyo Nimeona Vyema Niombe Ushauri Kwanza Kwa Kuwa Sikuwahi Kujihusisha Na Mikopo Hapo Kabla.

Ili Niweze Kuliendeleza Eneo Hilo Ipasavyo Ninahitaji Tsh16mil(kama Nilivyosema Hapo Awali, Thamani Ya Eneo Ni Zaidi Ya Mara Tatu Ya Hiyo Pesa)

Baada Ya Kufanya Hivyo, Nitapata Pesa(kodi) Si Chini Ya Laki Saba Kwa Mwezi, Na Uwezo Wangu Wa Kuwekeza Ukiongeza Na Vyanzo Vingine Ni Laki5 Kama Malejesho Kwa Mwezi

Nataka Nishauliwe, Kutokana Na Vielelezo Hapo Juu Juu
1)je Inawezekana?
2)nahitaji Ushauri Zaidi Wa Kibenki Na Njia Salama Zaidi

AsanteniSana
 
maelezo yako bado hayatoshelezi vizuri.. kwa kukisia tu mkopo mingi kisia kwa uhakika 30 % riba kwa mwaka, marejesho yako ya chini kabisa kwa mwaka fanya 600,000 x 12 = 7,200,000 kwa haraka haraka 16 mln unaweza hitaji mkopo wa miaka 4 ili marejesho hayo kulipa mkopo na riba yake (7.2 mln x 4 = 28.8 mln) ina maana ili kulipa mkopo huo utahitaji marejesho ya kila mwezi yasiopungua sh 600,000 kila mwezi kwa miaka minne mfululizo bila kukosa... kazi kwako uliza tena kama una swali
 
kiwanja kiko wapi?
 
nimekuelewa mkuu asante, maelezo yako yanajitosheleza, asante sana kwa laki 6 sio shida ntajipanga.
 
Ushauri :
Kwa kuwa ndo unaanza biashara, si busara kibiashara kupata mtaji kwa njia ya mkopo kwani utakuwa unafanya biashara kwa presha na itakugharimu pesa nyingi ya malipo ya huo mkopo hapo baadae. Kwa kuwa una mtaji mali (kiwanja), una upeo (ujasialiaupeo), wewe ni kijana, una elimu, na umefanya utafiti wa kutosha kwa hicho unachotaka kufanya. UZA hicho kiwanja upate hela. Tenga kiasi cha mtaji ulichokuwa unataka, kiasi kingine weka bank ktk akaunti za muda maalum ambapo utakuwa unapata ongezeko la riba. then fanya biashara kwani nina imani, kama unaweza kupata laki 6 kila mwezi za marejesho kutoka katika faida ya biashara yako, unaweza pia kununua kiwanja kiwanja kama hicho baada ya mwaka au miaka miwili kuliko kuishi na madeni miaka minne. Woga wako ndo umaskini wako, take risk in a positively and secured way.
 
Nafikiri nilivyomuelewa biashara itakuwa sehemu hicho kiwanja anachotaka kuchukulia mkopo so hawezi uza
 
aaaah, kumbe ana eneo la kiwanja alilojenga frem za biashara na anataka aboreshe kisha apangishe kwa wahitaji ambapo atakuwa anapata mapato kutokana na kodi za frem hizo...!! mmmh, kwa hili..
 
Pia kuweka bank fedha kwa kutegemea interest ya 0.2 ambayo pia wakati mwingine inamezwa na service charges ni nora kuwekeza UTT au hisa.
 
Mkuu umesema kuna fremu tayari lakini zinahitaji kuboreshwa hivyo we huanzi biashara cha maana Hapa ni kuweka records za mapato upatayo sasa hata Kama ni kidogo fungua account ya biashara na endelea fuatilia hiyo hati ni muhimu records zako na statement yako ziwepo ili kuonyesha historia Fulani hapo sasa unaweza kugonga mlango benki ..utakuwa umekidhi vigezo vingi ..-1-historia, 2-security unayo 3- ni mradi ambao unajua utarudisha kiasi Fulani so benki wanajua pesa Yao itarudi kumbuka benki wapo kwenye hii biashara na wao hawataki kupoteza hela so kadri records zako zilivyo vizuri na historia na security ndivyo wao wanaweza fanya kazi na wewe ...ni hayo tu kwa Leo mkuu
 
aaaah, kumbe ana eneo la kiwanja alilojenga frem za biashara na anataka aboreshe kisha apangishe kwa wahitaji ambapo atakuwa anapata mapato kutokana na kodi za frem hizo...!! mmmh, kwa hili..

ndio hivyo mkuu, eneo langu liko sehemu ya biashara na kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu, nachohitaji kufanya nikubomoa frem zilizopo na kutengeneza nzuri zaidi ambazo znaendana na wakati. asante kwa ushauri.
 
Mkuu umesema kuna fremu tayari lakini zinahitaji kuboreshwa hivyo we huanzi biashara cha maana Hapa ni kuweka records za mapato upatayo sasa hata Kama ni kidogo fungua account ya biashara na endelea fuatilia hiyo hati ni muhimu records zako na statement yako ziwepo ili kuonyesha historia Fulani hapo sasa unaweza kugonga mlango benki ..utakuwa umekidhi vigezo vingi ..-1-historia, 2-security unayo 3- ni mradi ambao unajua utarudisha kiasi Fulani so benki wanajua pesa Yao itarudi kumbuka benki wapo kwenye hii biashara na wao hawataki kupoteza hela so kadri records zako zilivyo vizuri na historia na security ndivyo wao wanaweza fanya kazi na wewe ...ni hayo tu kwa Leo mkuu

asante mkuu, nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom