saidjamali
Member
- Dec 3, 2016
- 66
- 22
Je wazazi wake umewashirikisha hili na wanatambua hii tabia yake?Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kwanzia hapo mambo yakabadirika kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojiskia bila kujali mm ni nani kwake amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu.yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yoyote yule
Bonge ya ushaurimkuu kufikiria kufa ni ujinga wa kiwango cha lami... kwanza jichunguze kwa nini kaanza hayo ? je wewe ni sababu?
kutokuheshimu ndugu zako jitahidi kama inawezekana akae nao mbali ili kuondoa maneno na malumbano yasiyo ya msingi..
sasanakupa fundisho kuanzia leo muignore atukane aongee shombo we kaa zako kimya,,.. wakija ndugu kukushtaki jikalie kimya ikikulazimu kuongea sanaa wambie jitafakaribaada ya mwezi ukiona ndiyo anazidi achana na huyo mwanamke game over
Usimuache tafuta mchepuko halafu jitahidi aujue halafu punguza show kwakeKwanza poleni na majukumu
Wadau karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nomwoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito.
Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kwanzia hapo mambo yakabadirika kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojiskia bila kujali mm ni nani kwake amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu.yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yoyote yule
Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata yakufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Wazazi wanajua tabia ya mtoto waoJe wazazi wake umewashirikisha hili na wanatambua hii tabia yake?
Uliingiaje sasa na wewe kwenye familia ya hivyo au hukujua?Wazazi wanajua tabia ya mtoto wao
Yaani hata wazazi wake hawaishi vizuri na mtoto wao anaweza kuchambana hata na mama yake
Mkuu naishi mbali na family yangu lakini tatizo kidogo lazima ahusishe family yangu mpaka mama yangu mzazi kasusa kuja kwangu kwa tabia yakemkuu kufikiria kufa ni ujinga wa kiwango cha lami... kwanza jichunguze kwa nini kaanza hayo ? je wewe ni sababu?
kutokuheshimu ndugu zako jitahidi kama inawezekana akae nao mbali ili kuondoa maneno na malumbano yasiyo ya msingi..
sasanakupa fundisho kuanzia leo muignore atukane aongee shombo we kaa zako kimya,,.. wakija ndugu kukushtaki jikalie kimya ikikulazimu kuongea sanaa wambie jitafakari baada ya mwezi ukiona ndiyo anazidi achana na huyo mwanamke game over
Mkuu hakuna utani wa namna hiyo ni miaka 2 sasa naishi kwa tabu mpaka najuta hata kukutana naePole! labda anakutania, ndio ucheshi wake huo!!
Nafikiri hivyo ila mtoto ndo anafanya niwaze sanamkuu kufikiria kufa ni ujinga wa kiwango cha lami... kwanza jichunguze kwa nini kaanza hayo ? je wewe ni sababu?
kutokuheshimu ndugu zako jitahidi kama inawezekana akae nao mbali ili kuondoa maneno na malumbano yasiyo ya msingi..
sasanakupa fundisho kuanzia leo muignore atukane aongee shombo we kaa zako kimya,,.. wakija ndugu kukushtaki jikalie kimya ikikulazimu kuongea sanaa wambie jitafakari baada ya mwezi ukiona ndiyo anazidi achana na huyo mwanamke game over
hapana usiwaze sana muignore mkeo tunza watoto overNafikiri hivyo ila mtoto ndo anafanya niwaze sana
Pole sana, ndoa ni msalaba, jitahidi hadi uufikishe calvari ( kwa sie wakristu)Mkuu hakuna utani wa namna hiyo ni miaka 2 sasa naishi kwa tabu mpaka najuta hata kukutana nae