USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,710
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje.

Kuna binti fulani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizingatia na mimi nilikuwa namtamani enzi akiwa hajaolewa?
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa

Naona unachezea koki ya maji endelea hivyo hivyo utafurahi
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Mkuu achana nae, mumewe hana utani na uchi wa kiumbe yeyote aiseee
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Muache mke wa mtu huyo.
 
Kuna ubaya gani ukipendwa,,?
Binadamu ili ajihisi included lazima aone kuwa anapendwa hiyo inakusaidia katika ubongo wako kujiamini zaidi
We usianze kuwaza ngono hapo kwa mke wa mtu sikutishi ila utaumia
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Nitaamini vipi bila screenshots za sms?
 
Mtu akiwa in a relationship na kukutamani, hilo halina shida. Crushes happen from time to time. Shida ni when they start acting on it.

Mwambie a-concentrate na ndoa yake.

Sasa na wewe ulikuwa unamtamani kabla hajaolewa and you did nothing. Sasa hivi kaolewa ndo unataka u-act on your desires. Acha hizo.
Advice bora kabisa
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
unganisheni vi**joleo
 
Back
Top Bottom