UPDATES
Wakuu niliongea na mwanamke bado kakomaa ana msela ambaye ana mtomba na mimi ameshakiri kunitoa moyoni. Hivyo next week rasmi tunaenda mahakamani kuvunja ndoa aendelee na jamaa alieamua kuwa nae na kuhusu watoto nimemwambia sipo tayari kuona wanalelewa na huyo jamaa hivyo nitafanya mpango wa kuwachukua ingawa wawili bado wadogo Mungu atasaidia nitajua nikavyopambana kuwalea. Ila nimeona nisifanye mambo kuwa mengi na mwisho kufikishana kubaya kwa mtu ambaye tayari ameshaamua kukukataa na kwenda kwa mwingine.