Ushauri: Mke kakata Mawasiliano

Ushauri: Mke kakata Mawasiliano

Kwa watoto wawili na mimba juu...

haiondoi ukweli kua anakutegemea sana
Na hamna mwanaume wa kumuoa tena .


Cha kufanya ni kutumia mbinu za kurudisha tu maisha yenu kama awali basi...

Mwanamke akiwa na mimba, anaweza akakupenda sanaaaaa au akakuchukia sanaaaaaa

Ili nalo liweke kichwan....


Kikubwa, mfanye aaamini kua yeye ndo kakuwezea , tumia hata unafiki unafiki tu jombaaa ili mradi aamin yeye ndo mwanamke bora kwako
 
Si rahisi mwanaume achukue mkeo akiwa na mimba yako na watoto wako wawili moja kwa moja unless ww ni mzembe sana au humtaki tena. Watalala nae ila mwishoni watakuachia mkeo na kiburi chake kitaisha.
Vipi kama watoto wamepelekwa kwa baba halisi na hiyo mimba ina mwenyewe mwenye hao watoto wengine na sio huyu ndugu yetu?
 
Una watoto wangu wawili, una mimba yangu, mm nakujali ila ww ndo una pozi najishusha niende wapi? Utarudi tu maana si rahisi anayekupa kiburi akakuweka ndani.
Huenda watoto na mimba sio vyako
 
Huenda watoto na mimba sio vyako
Kama sio mimba yangu na watoto si wangu ss napoteza nn muda na mwanamke mwenye watoto wawili na mimba juu? Wanawake walivyozidi duniani.
 
Una watoto wangu wawili, una mimba yangu, mm nakujali ila ww ndo una pozi najishusha niende wapi? Utarudi tu maana si rahisi anayekupa kiburi akakuweka ndani.
Mabaharia tunaita " kumkata mabawa" .hawezi kuruka huyo.
 
Sasa kama ni mjamzito..si wewe ndiye unaetakiwa kuwa nae karibu kimawasiliano?afu nani ahangaike na mwanamke aliyekwishazalishwa 2 kids na mimba nyingine juu?acha mawivu
 
Kabla ya ndoa mawasiliano fresh baada ya kufunga ndoa tatizo limeanza hivi kwenye ndoa kuna nini?

Mnaishi tofauti tofauti km kama 220 mbele anyways ukapimage na DNA kama ni wanao hao yawezekana yupo na mume wa ndoto zake wanalea kijacho.
 
Usije wakataa watoto,yakukute ya Abdul.
Cha msingi tuma matumizi,na uwe unamtembelea mara kwa mara,hana namna.
 
Mimi naaminigi mapenzi ni ushirikiano na sikuzote mtu kama hatki ukribu nawe basi jua yupo anayempa furaha zaidi yako na ukicheza zaidi utaumia wewe zaidi kuliko yeye mapenzi yakishamteka mtu aisee hakumbuki yeyote na anaweza amua kufanya lolote, nenda Kwa step sana katika hili maana isipokuwa makini unaweza kufanya Jambo Baya pale ukikuta labda ana mwingine embu omba ruhusa ya siku7 ukakae naye home labda utagundua lolote kuwa mtulivu sana Ila usijishushe sana maana utashindwa kutoa maamuzi sahihi ukiona hataki muweke suluhu basi hope nafsi ya kutunza wanao yeye mwache kama anakupenda upendo utarudi Kati yenu Ila usijishushe kupita kiasi just Kwa kiasi

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Naomba kiuliza je ulichepuka kweli au majirani wanakusingizia?
 
Back
Top Bottom