Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
Mkataba wangu Mimi unaishia mwezi wa 7, Leo ni mwezi wa 4, mwenye nyumba, nyumba tunayoishi kaiuza, hajatuambia official tunasikia na mafundi wake tuu. Sasa anataka atuhamishie nyumba ingine alizonazo. Mbaya zaidi anakupa siku mbili za kuhama. Ila mkataba unasema kodi inapoisha unapewa mwezi mmoja kuhama. Je sheria inasemaje kwa wataalamu kwa mazingira kama hayo hapo juu kwa Mimi mpangaji. Pili ni vyombo gani vinahusika na mambo ya wenye nyumba na kupanga na kupangisha. What are my general rights there!?