SIR.NOM
Member
- Sep 8, 2012
- 78
- 24
Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana.
Nimekuja kwenu wadau,kupata ushauri.Kuna ndugu yangu wa karibu alikopa huko.Sasa umefika wakati wa marejesho,hana hela.Na wale jamaa ni wanapiga cmu balaa.Usumbufu wa cmu kipga mara kwa mara kama wote yan.Na kila anacho jarbu kujitetea hawamuelewi.Wanacho taka wao ni hela tu na vitisho juu.
Nimshaurije huyu mtu,naomba ushauri wenu.