Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
kwakuwa anapenda hiyo kazi na ana uzoefu nayo mpe mtaji afunguwe kapub kake ka kishkaji na yeye ataajili pia.
Jirani yangu kuna mother mmoja ana bar macounter na wahudumu ni mabinti zake 3 warembo mmoja ana degree wa pili anafanya masters na watatu yupo Udsm.
Huwezi kuamini hii bar haina wateja wengi ila ndio inaongoza kwa mauzo. hii ni habari ya kweli na siyo story.
Yule binti wa kwanza anafanya kazi sehemu akirudi kazini ndio anajoin, mchana kama wote hawapo mama mtu anakomaa mwenyewe.
Dena Amsi, huu ndio msimu wa intake mpya ya VETA, kuna saloon, mapishi, kushona na mengine kibao! Ada kwa mwaka akikaa boarding plus gharama zote za mwanafunzi ni ni 235, 000 Tshs!Yaani nakwambia 100000 Kshs sio mchezo na wakakataa kurudisha ada yaani natamani kumnyonya macho
Dena Amsi, huu ndio msimu wa intake mpya ya VETA, kuna saloon, mapishi, kushona na mengine kibao! Ada kwa mwaka akikaa boarding plus gharama zote za mwanafunzi ni ni 235, 000 Tshs!
Kuna wakati watu wengine wanachelewa sana kukua. Ni kuwasaidia jinsi inavyowezekana maana pengine hajitambui...kumpeleka shule mtu asiyejitambua ni issue
Mlete tumfanyie maombi
Poa tumia namba ile ile ila 0754 au 0784 huku nilipo tigo issue