Ushauri: MD au Dental Surgery? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: MD au Dental Surgery?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzee Mwafrika, Jul 8, 2009.

 1. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #1
  Jul 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimemaliza mwaka wa kwanza medicine ila ninaweza chagua kuendelea mwaka wa pili na Medicine au Dental Surgery.MD ni miaka saba na Dental Surgery ni miaka 5(Sio Tanzania tafadhali).Naombeni ushauri;niendelee na Medicine au nirukie Dental Surgery mwaka wa pili?Izingatiwe soko,muda na mengineyo.(Nakumbusha hii haiwezekani Tanzania ila inawezekana nilipo mimi kutokana na mfumo wa elimu wa huku)
   
 2. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #2
  Jul 8, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe unataka uwe nani? Acha uroho wa pesa na kutaka kwenda sokoni mapema hivyo. Medical profession is just a matter of vocation ndugu yangu. Sijui kama kuna sehem itakayokufaa kwa mtindo huo. Go for counseling b4 they confuse you more down here...
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  -Hujasema uko wapi
  -Hujasema unataka kufanya kazi wapi
  -Hujasema kinachokusukuma kufanya kazi ni nini, pesa, huduma au hujui?
  -Unataka tuzingatie soko na muda, soko la wapi? Uko uliko? Tutalizingatiaje bila ya kulijua?


  Kwa ujumla hujatoa habari za kutosha kumfanya mtu anayeelewa vihusika kwa undani kukupa ushauri mzuri, seuze wasiojua lolote kuhusu hii sekta ambao ndio wengi hapa bodini.
   
 4. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #4
  Jul 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu sipo Tanzania ila nina mpango wa kurudi pindi nikimaliza!Kwa hiyo soko langu ni Bongo ila kinachonitisha hii miaka saba mzee naona kama nazeeka ukizingatia nataka kupanda hadi ma pHD.Niendelee na MD au nichukue DS.Upi ni uamuzi wa busara.(Nikitaja nchi nitakuwa kama nimetaja jina nielewe hivyo)
   
 5. afkombo

  afkombo Member

  #5
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwani wakati unaanza hukulijua hilo??
  Ulienda huko kusoma kitu gani,MD a DS au kitu kingine tofauti??
  Ulienda ukijua utasoma kwa muda gani??
  Kama huna majibu ya maswali hayo basi ushauri ni huu
  "Huo muda usikutishe kabisa maana kama utachukua MD hata hautajua jinsi muda utakavyokuwa unaenda.Na kama utarudi Bongo basi chukua hiyo MD,DS haina dili Bongo ukilinganisha na MD,na nina hakika hata hapo ulipo na sehemu yeyote ile DS haiwezi kuipiku MD,so acha haraka soma taratibu tu utafika"
  Na nakukumbusha kuwa TZ watu wa MD na DS huwa wanaanza pamoja then wana-separate njiani.
   
 6. M

  Mzee Mwafrika Senior Member

  #6
  Jul 9, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mkuu!
   
 7. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama kuna option ya tiba asilia (traditional medicine ) nakushauri uichangamkie mzee yaani hapa bongo utakula vichwa mpaka uchoke, ukizingatia na mwakani kuna uchaguzi!!!!!........... utakuwa milionea si unajua tena !!~!!!!! mambo yetu yaleeeeeee... ingawa wewe utayafanya kitaalamu zaidi. mwaenzio wateja mpaka nawakimbia ni wengi mnoooo
   
  Last edited: Jul 10, 2009
 8. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo miaka isikuogopeshe,kwa kila kitu MD ni bomba kuliko DDS.Kama una mpango wa kurudi bongo,MD should be the choice.Angalia usije kujuta!
   
 9. m

  masaiti Senior Member

  #9
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MD is better,
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  soma MD mdogo wangu miaka sio hoja we soma.

  kingine uwe na unafanya maamuzi sahihi mapema swali hili huwa wanauluza wale wanao apply,

  soma tu.
   
Loading...