Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

suala la michepuko ishakuwa kama fasheni hivi, badilikeni bhana kwann unailetea simanzi familia yako kwa kutaka mambo ya kuendana na wakati (kumbe ni ujinga mtupu), wewe unadhani nini hatma ya familia yako sasa, mkeo alikuwa anakuheshimu sasa atakuona u mnyama wa mwitu.....binafsi sina cha kukusaidia ila naomba wanaume tujifunze , unapoingia ktk ndoa maanisha hasa kwa kile unachoingia sio huku nje ndani, mkuu hapo huyo mchepuko ukimuacha si atakujia kwa vita hata vya kishirikina,tujiepusha na matatizo mengine mpaka sasa ushaleta tatizo ktk ndoa yako, wakwe zako watakudharau hata ukienda kuwasalimu watakuwa wanakunyooshea vidole hata heshima haitakuwepo tena
point
 
sijaona cha kukushauri maana ni mwanaume usiye Na msimamo sisi wanaume ata iweje atujitambulishi nyumbani kwa mchepuko Na ukitaka kumkomoa mchepuko mweleze ukweli unampenda mke wako ataanza kukupiga vizinga vya maana wewe mnyime makusudi atajiongeza tu Na ataacha kukuganda ataenda kwa wajinga wengine
 
Sasa wakati unampa hukuwa na haja nayo ebu mwambie akupe mimba kwa utii bila shuruti.
 
Naomba msaaada kwa hili.

Mimi nina mke wangu ambae yupo mbali alikuwa mama wa nyumbani nikamfanyia mpago wa chuo amesoma amefanikiwa kupata kazi mkoani mimi sasa wakati yuko chuo nilikuwa na mchepuko wangu si unajua huyu ulinipokea nilipopewa uhamisho toka Dar kwenda eneo jipya la kazi.

Mchepuko wangu ulijua mimi sina mke wakati family yangu ilikuwa Dar baada ya muda mke wangu alikuja kukaa na mimi mwaka 1, nikaona nimpeleke chuo hakuna aliyejua kwamba mke wangu yuko wapi maana alinichia mtoto mdogo, majirani wakaanza kusema nimemfukuza mke wangu wala sikujali hilo.

Sasa kipindi hicho yule mchepuko nilikuwa nimeachana nao sasa baada ya kusikia nimeachana na mke wangu ukarudi kwa kasi sana nami nikaendelea nao kumbe sikujua nafanya kosa ukaanza kusema nimuoe nikajitambulishe kwao mwanangu anafahamu?

Sasa mchepuko una mimba daah! Hili balaa na mke wangu anakuja mwezi ujao na mchepuko unalazimisha niende kwao na mke wangu napenda sana kutoa mimba haiwezekani ila mimi nimemwambia nipo tayari kutoa huduma zote nimnunulie kiwanja hataki anataka kuolewa tu hajui kama nipo na mke wangu.

Nifanyeje wandugu?
utaisoma namba mkuu!
 
dah mm ushauri wangu kwako ni kwamba michepuko cyo dili kabisa baki njia kuu.
 
Ujinga huu
 
Mi sikushauri kitu maana hiyo mimba kwani yako!! Si ni yake???
 
Ufanye ujinga wako alafu uje omba ushauri..nenda katubu.
 
Naomba msaaada kwa hili.

Mimi nina mke wangu ambae yupo mbali alikuwa mama wa nyumbani nikamfanyia mpago wa chuo amesoma amefanikiwa kupata kazi mkoani mimi sasa wakati yuko chuo nilikuwa na mchepuko wangu si unajua huyu ulinipokea nilipopewa uhamisho toka Dar kwenda eneo jipya la kazi.

Mchepuko wangu ulijua mimi sina mke wakati family yangu ilikuwa Dar baada ya muda mke wangu alikuja kukaa na mimi mwaka 1, nikaona nimpeleke chuo hakuna aliyejua kwamba mke wangu yuko wapi maana alinichia mtoto mdogo, majirani wakaanza kusema nimemfukuza mke wangu wala sikujali hilo.

Sasa kipindi hicho yule mchepuko nilikuwa nimeachana nao sasa baada ya kusikia nimeachana na mke wangu ukarudi kwa kasi sana nami nikaendelea nao kumbe sikujua nafanya kosa ukaanza kusema nimuoe nikajitambulishe kwao mwanangu anafahamu?

Sasa mchepuko una mimba daah! Hili balaa na mke wangu anakuja mwezi ujao na mchepuko unalazimisha niende kwao na mke wangu napenda sana kutoa mimba haiwezekani ila mimi nimemwambia nipo tayari kutoa huduma zote nimnunulie kiwanja hataki anataka kuolewa tu hajui kama nipo na mke wangu.

Nifanyeje wandugu?
Mwanaume wa Dar umekimbia panya road umekwenda kujilengesha kwa wanawake wa mkoani.....

Ndio uwakome tena...
 
mtu una mke unachepuka hausemi kama umeoa. hapo ndo ulichemka mbaya
 
Kosa lako kubwa ni kuficha ukweli kuwa bado upo ndani ya ndoa laiti kama ungeongea huo ukweli mapema wala usingepata hizo taabu na mahangaiko ya akili kama hivi.Mimi nilipata mkasa kama huo ila mwenzio nilideclare tangu mwanzo wa uhusiano kuwa nina mke wangu wa ndoa tayari.Kipindi cha ujauzito nilipata misukosuko ya kuombwa kwenda kula na huo mchepuko ila sikuwahi kwenda hata siku moja.Na two weeks ago amejifungua ila weekend ndio huwa naenda kumuona mtoto sikuataka kujipeleka mzima mzima sasa hivi wanwake wanataka ndoa usiku na mchana wanaume tumekuwa adimu zaidi ya almasi.So kwa mzozo huo ulionao ulikosea mwanzoni mkuu hapo funguka ukwelikuwa umeoa ili huyo mchepuko ajue tu hiyo nyumba ni ya mke wako na yeye akubali kuwa spare tyre.
 
Kwanz huo ni ushenzi na unatabia chafu,Huo mchepuko ulivyokua unalala nao hukujua kuwa kuna mimba?wanaume wenzio wanafanya hayo mambo kwa akili na kuwajali wake zao,sasa mungu akadhibu ipasavyo na uumbuke mbele ya familia na jamii kwa ujumla
 
Sasa wewe ulipisha hilo likitu lako ukitegemea atataga au. Acha ujinga wewe
 
Mambo mengi ya kipumbavu huwa tunayatafuta wenyewe...
 
hueleweki sasa umemuacha mkeo mara haujaacha....mchepuko ye hana tatizo anataka aolewe we umsema umemuacha mke tena mara mke anarudi
 
pole sana na hiyo ndio faida ya kufanya ngono...jifunze kuwa muwazi inavyoonekana kutokana na ulichoandika wewe ni mtu wa kupindisha pindisha maelezo. na hivyo ndivyo ulivyo ata kwenye mazungumzo yako ya kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom