Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

Kwa uandishi huu ndugu!
Msamehe bure. Hapo halipo kachanganyikiwa. Si unaona kaweka alama za kuuliza mahali ambapo hapatakiwi.
Mchepuko ni noma, waliosema baki njia kuu hawakukosea. They are right. Ngoja akione cha mtema kuni
 
mchuma janga hula na wa kwao!unalo hilooo!!

umelikoroga shurti ulinywee!!!
 
Anza kwa kumwambia ukweli huyo mchepuko kuwa una mke wa ndoa, mengine yatajirekebisha yenyewe.
 
Mwambie mkeo ukwel km anakupenda kwa dhati atakuelewa coz kuteleza cyo kuanguka,na kwa huyo mchepuko kuwa mkali tu,km hatak awe nyumba ndogo by force........
 
Msamehe bure. Hapo halipo kachanganyikiwa. Si unaona kaweka alama za kuuliza mahali ambapo hapatakiwi.
Mchepuko ni noma, waliosema baki njia kuu hawakukosea. They are right. Ngoja akione cha mtema kuni
Si wanashabikiaga michepuu! Acha wavune wapandacho
 
Umesema upo tayari kumnunulia kiwanja na kumjengea na huduma za mtoto ina maana bado utaendelea na mchepuko wako then unasema unampenda mke wako. Ivi unajua kumpenda mkeo ni pamoja na kutomwumiza? Tusilitumie neno nampenda mke wangu wakati moyoni haumanishi.
 
Ukisha yavulia nguo maji lazima uyaoge komaaa
 
suala la michepuko ishakuwa kama fasheni hivi, badilikeni bhana kwann unailetea simanzi familia yako kwa kutaka mambo ya kuendana na wakati (kumbe ni ujinga mtupu), wewe unadhani nini hatma ya familia yako sasa, mkeo alikuwa anakuheshimu sasa atakuona u mnyama wa mwitu.....binafsi sina cha kukusaidia ila naomba wanaume tujifunze , unapoingia ktk ndoa maanisha hasa kwa kile unachoingia sio huku nje ndani, mkuu hapo huyo mchepuko ukimuacha si atakujia kwa vita hata vya kishirikina,tujiepusha na matatizo mengine mpaka sasa ushaleta tatizo ktk ndoa yako, wakwe zako watakudharau hata ukienda kuwasalimu watakuwa wanakunyooshea vidole hata heshima haitakuwepo tena
 
Si wanashabikiaga michepuu! Acha wavune wapandacho
Kweli dada
siku hiz watu wamehalalisha michepuko kbsa. Utakuta mtu anatoa mpaka thread kbs eti anauliza atumie njia gani kuwasiliana na mchepuko.
Mtu ameoa halafu anachepuka sasa hapo kuna maana gani ya kuoa sasa?
Huyu ni sawa na bachelor. Ngoja aipate pate pate.
 
Uko serious unampenda mke wako sanaaaa au umeamua tu kujitoaufaham, ungempenda mkeo ungealika mchepuko uje ukae nao tena bila aibu unaishi na mwanao. Hamna namna, inabidi ulipie gharama ya maamuzi yako mkuu, kiufupi unaupenda huo mchepuko kuliko mkeo.
umeonae!! yaan anaishi na mchepuko nyumbani na kutumia kitanda cha mkewe? dah wanaume wengine sijui akili zao zikoje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom