Umbali si tatizo VP wengine ni hulka zao tu,mi nana aunt yangu type ya huyo dada ila huyo uncle nyonzo haifai na wapo hapahapa mjini.Umbali aiseee umbali .
Naishia tu hapa.
Na hayo matokeo tarajiwa ya mbeleni ndio yanayonifanya niumie roho...naona kabisa jamaa anavyopotea, naona anavovyagaa mikenge.Nimesubscribe hii movie, usiache kutupa mrejesho wa rafiki yako hapo baade akishamuacha mke, akawekeza kwa mchepuko, kukombwa vyote alivyonavyo, mchepuko kuhamia kwa mwanaume mwingine, jamaa kuwa mlevi mbwa.....
Hii ni kama bongo movie tu unaweza kupredict, ukiona jambazi kwenye bongo movie lazma utajua kabisa anakoenda kuiba akifika atavua viatu mlangoni.
Muache anyooshwe hata mke alikua mtamu kama mchepuko ulivo sahiviNa hayo matokeo tarajiwa ya mbeleni ndio yanayonifanya niumie roho...naona kabisa jamaa anavyopotea, naona anavovyagaa mikenge.