Ushauri-Maumbile madogo na mgongo unauma

makakara

Member
Feb 14, 2013
30
95
Mimi ni kijana mvulana umri wangu miaka 22, kusema ukweli huwa sijiamini nahisi nina maumbile madogo sana, kama nchi tano hivi ikiwa imesimama na ikiwa imesinyaa ni ndogo mno kama inch 2.

So kiukweli sijawahi kufanya mapenzi kwa sababu naogopa kuchekwa.

Naomba ushauri jamani hii size ni sawa, au si kawaida?

Pili, nina tatizo moja linalonisumbua siku nyingi, huwa nahisi maumivu ya mgongo kwa chini. Je, kutokufanya ngono ndo kunachangia au?

Nishaenda hospitali hadi tatu hawaoni tatizo.

Naomba ushauri wenu waungwana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom