Ushauri: Mama mkwe wangu kaja bila taarifa

Ushauri: Mama mkwe wangu kaja bila taarifa

Utakua unatania, elfu kumi imekuleta humu???? Utakufa na uchoyo wako na ndio maana Mungu hakuongezei... Nyambafuuuuuuuuuuuuuu
 
unaoneka mwanaume wa dar wewe kwetu mama.mkwe akija naingia shamba narudi na furushi la mihogo na magimba. hapo cha ziada kachumbari tu
 
Huyo ni mama yako, angekuwa mamako wa kukuzaa ungekimbia au ungekuja kusema huku?? Kama ni mgonjwa na unauwezo unastahili kumhudumia huyo mzazi na sio kulalamika
mama ako ni tofauti na mkwe mama ako una uhuru wa kumueleza hali halisi
 
Mmh wew unatumiaje mlo mmoja elf 10 mbona ckuelew au mnakula chakula special sana
 
Mmmmmh
kwani ivyo vyakula ni lazima ale vya garama sana
Mi naamini anaweza kula vyakula vya kawaida na zisifike garama zote hizo

Yawezekana unataka kujionyesha kwa mama mkwe wako ili akuone una hela sana sidhani kwa akili yako wewe mtoa Uzi....!
 
Kaka pole sana. Napata shida kubwa hapa, lakini naona haya yanakuhusu:
uchoyo ulokomaa.
huna uvumilivu.
huwajali ukweni.
huna siri kila kitu kwako ni tangazo (Haya like person).
mkeo humthamini wala humweshimu.
Badirika, ujue kama una mama na dada basi mamako nae ni mkwe wa mwanamme kama wewe. utajisikiaje shemeji yako ukikuta kaanzisha uzi kama huu juu ya mama yako mzazi?
 
Huo mlo wa elfu kumi Kala nini??? Au ulijifanya unamtoa out???
Mkeo hajui kupika?? Kwa sababu huwezi kutuambia unaishi kwako aafu unakula mgahawani na una mke na watoto.

Chai hiii
 
Dhambi hiyo angekuwa mama yako ungekuja kumuanika jf kijana.Arafu unaonekana muongo huo mlo gani asubuhi tu ufike 10,000 km siyo bangi zinakusumbua
 
Ndugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,

Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo mmoja tu wake yeye nimepiga mahesabu kwa mlo 3 ni 30,000 na mfano akikaa kwa siku 10 nitakuwa nimetumia laki 3 kwa msosi wake yeye tu bado mimi na watoto wangu hapa hatujala,yani leo kanitisha saa 6 hii nimetumia 10,000 kwa chakula chake yeye tu.

Naombeni ushauri nimfukuze, nikimbie nyumba niage nasafiri mpaka pale atakapoondoka, naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nina mawazo tele hapa huyu mama kaja kunichanganya akili tu hapa.
Bila shaka ww ni mwanaume wa Dar
 
Tatizo haijawafikeni ndio maana mnasema hivyo ,mpaka nimekuja kuwaomba ushauri basi mfahamu hali ni mby ,haiwezekani mtu atumie elf kumi kwa mlo mmoja hata ingekuwa Ww ungekubali ,ombeeni isiwakute ,kiukweli kanivuruga na inavyoonyesha haondoki leo ,jamani nawashaur ombeni isiwakute lawama hii elf kumi dah
 
Kuna wanawake wengine kama mashetani. Ina mana huyo mama anacho pikiwa yeye wengine hawezi kula? Au ndo ule unafiki wa kujifanya una muandalia alafu kumbe ushakuja huku kuomba ushauri? Mumeo yuko wapi? .....wangekua ndugu zako pia unge post huu ujinga?
 
Mungu anakuona!! siyo vizuri kumsingizia mwana wa mwenzio kula elfu30 kwa siku.
 
Hapa ndipo naukubali usukuma wangu, sie mgeni akija ni dalili za baraka nyumba isiyopokea wageni ni dalili za laana
 
Acha ubahiri .
Chuku laki nanusu hemee vyakula vya miezi mingi
Yaani,sukari,kg 20,
Michele kg 30,
Mafuta liter 10,
Unga sembe na dona kg 20/
Maharagwe kg 13:
Hapo utakuwa unabadili Mboga tu.
Huku ukiwa na kg 12 ndani za dagaa nyasa

Kama chakula chake ni maalum? na vyote unavyosema hapo juu hatumii?
 
Back
Top Bottom