supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Ukipenda boga penda na uwa lake
Ndugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,
Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo mmoja tu wake yeye nimepiga mahesabu kwa mlo 3 ni 30,000 na mfano akikaa kwa siku 10 nitakuwa nimetumia laki 3 kwa msosi wake yeye tu bado mimi na watoto wangu hapa hatujala,yani leo kanitisha saa 6 hii nimetumia 10,000 kwa chakula chake yeye tu.
Naombeni ushauri nimfukuze, nikimbie nyumba niage nasafiri mpaka pale atakapoondoka, naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nina mawazo tele hapa huyu mama kaja kunichanganya akili tu hapa.
Halafu nakufaham mkuu...Ndugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,
Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo mmoja tu wake yeye nimepiga mahesabu kwa mlo 3 ni 30,000 na mfano akikaa kwa siku 10 nitakuwa nimetumia laki 3 kwa msosi wake yeye tu bado mimi na watoto wangu hapa hatujala,yani leo kanitisha saa 6 hii nimetumia 10,000 kwa chakula chake yeye tu.
Naombeni ushauri nimfukuze, nikimbie nyumba niage nasafiri mpaka pale atakapoondoka, naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nina mawazo tele hapa huyu mama kaja kunichanganya akili tu hapa.
ahahaaMfukuze tu ndugu yangu maana huna namna .au kama umeshindwa mlete kwetu ila aje na mwanae yaaani mkeo atakaa siku anazotaka atakula atakunywa na atalala
Mkuu mbona unachekaahahaa
Uchoyo unaumiza sanaNdugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,
Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo mmoja tu wake yeye nimepiga mahesabu kwa mlo 3 ni 30,000 na mfano akikaa kwa siku 10 nitakuwa nimetumia laki 3 kwa msosi wake yeye tu bado mimi na watoto wangu hapa hatujala,yani leo kanitisha saa 6 hii nimetumia 10,000 kwa chakula chake yeye tu.
Naombeni ushauri nimfukuze, nikimbie nyumba niage nasafiri mpaka pale atakapoondoka, naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nina mawazo tele hapa huyu mama kaja kunichanganya akili tu hapa.
Hahahahhhh we ni mwehuMfukuze tu ndugu yangu maana huna namna .au kama umeshindwa mlete kwetu ila aje na mwanae yaaani mkeo atakaa siku anazotaka atakula atakunywa na atalala
Mkuu si amekuja kuomba msaada? wehu wangu ni kutoa msaada mkuu wangu?Hahahahhhh we ni mwehu
[emoji28]Mkuu si amekuja kuomba msaada? wehu wangu ni kutoa msaada mkuu wangu?
Jamani, tuseme tu ukweli hata kama mtasema ni ubahili. Kweli ndo ale elf kumi yote peke ake? Sasa watoto atawaachaje? Na kwann asije kwa taarifa?We unaloliweza ni lipi?mana msosi tu ushakuja kulalama huku...