Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,661
Zitakua za ukoo 32 bado sana kindaUmetuambia na kutuelekeza vyema...asante sana mkuu.Japo wengine tunapiga kujitazama tu mfano mimi nisingejua kama mvi zimeanzia chini,yes majuzi niko nijicheck nashangaa picha inaonyesha mvi mbili ..nimesikitika sana.Au za ukoo? 32 zimeanza mvi kweli uzee haupigi hodi daaa
Weka hiyo picha tuone mkuu, prngine sio mvi ila ni macho yako tu yalikuwa na mbwembwe.Umetuambia na kutuelekeza vyema...asante sana mkuu.Japo wengine tunapiga kujitazama tu mfano mimi nisingejua kama mvi zimeanzia chini,yes majuzi niko nijicheck nashangaa picha inaonyesha mvi mbili...nimesikitika sana. Au za ukoo? 32 zimeanza mvi kweli uzee haupigi hodi daaa.
Kwa kweli. Ha ha haaaWeka hiyo picha tuone mkuu, prngine sio mvi ila ni macho yako tu yalikuwa na mbwembwe.
Co kaz yng nmeelezea vzr tu mkuu labda hujanielewWewe kazi yako kuchunguza faragha za wenzio si ndio? Subiri utapike.
Mbwembwe ๐๐Weka hiyo picha tuone mkuu, prngine sio mvi ila ni macho yako tu yalikuwa na mbwembwe.
๐๐Hadi uko mvi zpo kwl?Umetuambia na kutuelekeza vyema...asante sana mkuu.Japo wengine tunapiga kujitazama tu mfano mimi nisingejua kama mvi zimeanzia chini,yes majuzi niko nijicheck nashangaa picha inaonyesha mvi mbili...nimesikitika sana. Au za ukoo? 32 zimeanza mvi kweli uzee haupigi hodi daaa.
Mikosi tu naonaPole sana, hizo picha chafu za walimbwende unakutana nazo wewe tu...
Mwenyewe nimestaajabu mkuu๐๐Hadi uko mvi zpo kwl?
๐๐Akili zako mkuu zinakutosha mwnyw kwakwlMwenyewe nimestaajabu mkuu
Ha ha haaa, ndivyo nilivyo mkuu๐๐Akili zako mkuu zinakutosha mwnyw kwakwl
Nachekaga sana reply zako Kwny posts za watuHa ha haaa,ndivyo nilivyo mkuu