Mnavyoandikaga utafikiri huwa wanasoma hizi nyuzi unakuta mtu yuko serious kabisa anaandika "Ushauri kwako mdogo wangu harmonize ukitaka chukua usipotaka acha"
Pathetic!
namkumbuka huyu baba diamond walipouza nyumba ya urithi kariakoo alivyokuwa mtu wa bata sana, anadrive landcruiser huku mama diamond na mtoto wake diamond wanashinda njaa, hakuwasaidia chochote!