fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
- Thread starter
- #21
No usikubali maelezo jumlajumla jaribu hii akili utafurahi
No usikubali maelezo jumlajumla jaribu hii akili utafurahi
Pole sana mkuu, mshukuru Mungu kwa kila jambowenye vibamia wote,msiwe na hofu fanye ni haya:
1.jifunzeni sana romance na muwe mnafanya sana sana romance kwa muda mrefu na kwa kila staili
2.fanyeni sana mazoezi iki muwe na stamina ya kulifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu sana
kwa njia hizo mtanusuru mahusiano na wenza wenu
Ule pesa za mwenye kibamia afu ukagongwe na wengine wenye matango siyo3. Wawe na kiungo muhimu pesa mengine yanavumilika.
3. Wawe na kiungo muhimu pesa mengine yanavumilika.