USHAURI KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

USHAURI KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,463
Reaction score
1,284
Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa .
1. Umuhimu wa uvuvi.
Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana kwa wakazi wa pembezoni mwa maziwa yote makuu , nchi zingine hadi kwenye mito, Tanzania tuna bahati tuna mpaka bahari ya hindi yenye pwani ya kilometa 1600.
2. Uvuvi ni chanzo bora sana cha protein , najua wengi mnajua faida nyingi za samaki na biashara hii naomba nije moja kwa moja kushauri kuhusu suluhu ya kukosa samaki.

Suluhu.
1. Kuwalisha samaki , Nashangaa sana kwa nini tunakuwa hatuwazi nje ya box kwa nini samaki wanapungua? uhakika ni kuwalisha samaki kwa chakula maalum cha samaki. Je kitatoka wapi na nani wa kugharamia

Jibu.
Pembeni mwa kila ziwa kuwe na viwanda vitakavyosimamiwa na halmashauri husika , vitumie ushuru unaotokana na uvuvi , kwa nini tutoze ushuru bila kurudisha kidogo itunze hao wanaokupa hizo hela?
2. Wajasiriamali binafsi au JKT waruhusiwe kuanzisha viwanda vya vyakula vya mifugo na kulipwa na halmashauri robo ya mapato yote yaende kuwanunulia samaki chakula na kukisambaza kwenye maziwa .
3. Kutengeneza maeneo ya mboji na kuzalisha fungi na algae mengi mno ndani ya maziwa na mito hii itasaidia sana sana kujaza samaki ziwani.

4. Kuhusu kusimamia uvuvi haramu ni rahisi sana wavuvi wenyewe wawe ma informer ukitoa taarifa unapata zawadi milioni 20 na fine kwa mhusika iwe milioni 100 ili mamlaka ipate na hela za kujiendesha , kama mhusika hana afilisiwe mali zake na kama hana afungwe maisha
 
Ok mfike dukani kuchukua chakula Cha samaki tuna vyakula vyote,

Vyakula vyetu vina virutubisho vyote kwa samaki wako ambao ni sato na kambale,

Tupo Kigamboni Machava Dar es salaam
 
Kwanza huo ushauri unashauri serkali ipi?

Nakwambia iwapo uvuvi haramu utathibitiwa kwa 100% kuna samaki wengi mno kaa ukijua samaki wanao zaliwa ni wengi kuliko wanao vuliwa mkuu changamoto ni uvuvi haramu.

Kuhusu samaki kulishwa napingana na wewe samaki wabaki na taste zao vilevile bali ili samaki wawe wengi
kwanza kwa sasa ziwa ni chafu sana kemikali nyingi sana zinatupiwa ziwani na hiki ndo chanzo kikubwa .Uienda mwambao wa ziwa hapatamaniki tena machupa ya plastik na mifuko nk ni mengi sana na mamlaka husika hazijari!! unategemea nini?

Pili ili samaki wawe wengi na kukizi mahitaji narudia na kusisitiza uvuvi haramu ukomeshwe tuna maziwa mengi sana na mito hatuwezi kuwa na uhaba wa samaki kiasi hiki hasa tukiwa na uongozi na serikali inayojari kwa vitendo
 
Umenena ndugu sasa mamlaka husika hazioni kuwa zinanyima mapato yenyewe . hatufikirii ajira zinazopotea ? hatufikirii uchumi wa wafanyabiashara wa samaki unavyoathirika ? hatufikiriii afya za watnzania ?
 
Wanawaza kuiba tu hakuna Cha ziada
 
Back
Top Bottom