Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,859
Wazungu hawa walioamua kugharamia matibabu ya watoto wenu kwakweli wameonyesha ubinadamu wa hali ya juu sana na wanastahili kuungwa mkono na kila mtu mwenye akili timamu.
Hatahivyo,niwaambie tu wazazi, kwa nchi yetu hii ilivyo,baada ya muda watoto hawa wangesahaulika kabisa na huu ungekuwa ni mzigo wenu nyinyi kama wazazi labda kwa kushirikiana na ndugu na jamaa zenu wachache.Hiyo rambirambi waliotoa ndio walikuwa wamemaliza /wamenawa mikono.
Ushauri wangu:Najua mtawashukuru kwa kila nama na pengine kwa kutumia maneno yote mtakayoweza lakini ushauri kwenu ni huu.
"Iwapo bado mnaendelea kuzaa,basi watoto mtakaowazaa nawashauri muwapa majina ya hawa wazungu ikiwa ni kuthamini mchango huu mkubwa walioutoa kwenu"
"Hata watoto hawa kama Mungu atawaponya na wakaja kujaliwa kuwa na watoto hapi baadae,nawashauri waje wawape watoto wao majina ya hawa wazungu."
Hamna kumbukumbu nzuri ya wema huu itakayoweza kudumu vizazi na vizazi kama kutumia majina ya hawa wazungu katika familia zenu.
Wazungu wale watatu(Medical volunteers) ndio walikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio na kuanza kutafuta waliokuwa wanahema miongoni mwa zile maiti na kuwapata wale watoto watatu na baadae ndio wakaja na wazo la kuwapeleka Marekani kwa matibabu zaidi na kutafuta wafadhili wa kuwasafirisha mpaka US.
Picha na maelezo zaidi kuhusu jitihada za wale wazungu watatu kuanzia kwenye eneo la tukio na baadae hospitali na mpaka walipokuja na wazo la kuwapeleka Marekani utazipata kupitia hizi link hapa chini:
Iowan missionaries help to save 3 kids in Tanzania bus crash
http://www.thecitizen.co.tz/News/Ka...ign-medics/1840340-3920828-mkdcpnz/index.html