HESHIMU DINI ZA WATU,.KMA HUAMINI KTK NJIA HII YA YESU KAA KIMYA USIKEJELI,...duh, unatema sana mabomba mkuu
Hivi Yesu alinunuliwa nini? Au alikuwa anachukuwa hela kutoka kwa wanafunzi wake?Sioni kosa kumnunulia mchungaji ndege ya kutembelea,maana wanafanya kazi kubwa sana
Ndo upo kwenye kundi hilo.Sioni kosa kumnunulia mchungaji ndege ya kutembelea,maana wanafanya kazi kubwa sana