Ushauri kwa watu wanaokaa mjini pamoja na wasomi wanaotuangusha kuhusu kilimo

ngetela

Member
Oct 12, 2021
56
32
Mwaka jana mahindi na bidhaa zingine zilipanda bei mpaka maisha kawaida yangachanganya raia.

Mimi binafsi nilisema acheni vipande bei maana ndiyo maisha halisi ya mkulima ili ainuke. Lakini kuna waelevu humu walipinga wakisema ni mwanzo wa uchumi kuanguka wasijue kupanda kwa bidhaa za mashambani ni mhimu kwa watu wanaotegemewa 80 per cent.

Leo hii bidhaa za kilimo zinashuka bei wakulima wanahangaika wanashindwa kumudu gharama za maisha nyie furahini sasa mjini mbet na kufurahi!
 
Mwaka jana mahindi na bidhaa zingine zilipanda bei mpaka maisha kawaida yangachanganya raia. Mm binafsi nilisema acheni vipande bei maana ndiyo maisha halisi ya mkulima ili ainuke. Lakini kuna waelevu humu walipinga wakisema ni mwanzo wa uchumi kuanguka wasijue kupanda kwa bidhaa za mashambani ni mhimu kwa watu wanaotegemewa 80 per cent. Leo hii bidhaa za kilimo zinashuka bei wakulima wanahangaika wanashindwa kumudu gharama za maisha nyie furahini sasa mjini mbet na kufurahi!!!!!!.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hivi tokea lini kupanda kwa bei ya mazao mashambani kama unavyosema iliwahi kuleta nafuu kwa mkulima tena mkulima wa Tanzania.
Unaweza kujua kwanini Tsh 10 haipo ila Kenya, Uganda, China, America na kwingineko bado wanatumia 10 yao?
 
Uganda wanatumia 10 yao.
 
Mfano tu mwaka jana mahindi na nafaka zingine zilipanda tukamudu kujenga na kununua ng'ombe sema lingine.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hao watu wa mjini wamejipa weledi wa kumsemea mkulima. Yaa i mkulima auze gunia la viazi mviringo elfu 60 asiinuke ila akiuza elfu 30 atainuka. Hii ni akili au matope?
Wengi wa hawa watu wanaongelea matumbo yao na kusahau matumbo ya wazalishaji.
Neaka viazi mvitingo elf 30+ hakuna maendeleo yoyote wakulima wamefanya maa a wamtoata hasara. Inturn wauza vifaa vya ujenzi hawatauza, hivyo uchumi umedumazwa.
Wabangaizaji wa maisha mjini wanataka mkulima awalime washibe ila bidhaa za viwandani hazishuki ila za mkulima tu.
Siku zikiingia kampuni kubwa za kulima mazao nchini hizo kelele zote zitaisha maana mabepari hawapangiwagi bei na hao walalamishi itawalazimu wafanye kazi wskuze kipato wamudu chakula.
Mwisho wa kumlalia mkulima wa TZ utafika tu, ni suala la muda.
 
Brother acha kulalamikia watu waishio mijini,, kilimo kimekuwa Cha hovyo kutokana na sera mbovu za nchi kuhusu hii sector na wala siyo raia waishio mijini.

Mkulima anapitia wakat mgum coz yey analima lakin bei anapangiwa sas hapo utamlaum mtu anayeishi mjin Kwa lipo kama siyo mkono wa nchi yko.

Pia watu kati imekuwa shida Kwa wakulima, mtu kati anakuwa na mafanikio kuliko mtu anayelima shamban.
 
Fact tukitaka maisha yawe nafuu tusilalamike kupanda kwa bidhaa za mashambani tukubali kununua ili soko letu litosheleze. Bidhaa za nje zinapanda lakini tupo kimya tunafeli labda kwa kuwa hawawezi kutuelewa .

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndiyo ukweli watu wengi waishio mjini ni walalamikaji sana na wavivu wanashindwa wanacheza pool kubet kuchuuza na dharau kwa mtu wa mashambani huu upuuzi upo Africa tu.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana mahindi na bidhaa zingine zilipanda bei mpaka maisha kawaida yangachanganya raia.

Mimi binafsi nilisema acheni vipande bei maana ndiyo maisha halisi ya mkulima ili ainuke. Lakini kuna waelevu humu walipinga wakisema ni mwanzo wa uchumi kuanguka wasijue kupanda kwa bidhaa za mashambani ni mhimu kwa watu wanaotegemewa 80 per cent.

Leo hii bidhaa za kilimo zinashuka bei wakulima wanahangaika wanashindwa kumudu gharama za maisha nyie furahini sasa mjini mbet na kufurahi!
Hapo nchi kuwa na 80%ya watu wake wakijihusisha na kilimo, ndio tatizo lilipo,Kwenye kilimo inabidi wawepo watu wachache kama 20%na, 80%wawe viwandsni, hapo ndio mkulima atafaidika,
Nchi kama UsA, na ukraine wakulima, ni watu wachache, Ila wanaohitaji bidhaa za chakula ni wengi! Hapo lazima mkulima awe tajiri! Na mkulima sio, wa, kulima vi heka viwili kumi! Unalima heka 50+, tena kwa dhana za kisasa, hapo ndio u tajiri upo,
Ukiona, Ukraine ipo vitani,lakini Ina supply chakula dunia nzima, wanaolima ni wachache, Ila wanalima ardhi kubwa kwa dhana za kisasa!
Kati ya watu 10,inabidi nane wawe viwandsni, wawili ndio shambani,
 
Back
Top Bottom