Georgemkali wao
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 180
- 118
Habari zenu wanajamvi,napenda niwashauri wadogo zangu mnaoenda chuo mkawe na discipline ya fedha na nafikiri mmejionea hali halisi ya maisha huku mtaani ajira zimekua ngumu na mambo kadha wa kadha ushauri wangu mtakaobahatika kupata mikopo mjiwekeze kwa kuunda vikundi hata mkiwa huko chuoni
Mkiendekeza bata mtarudi kitaa na kuanza kuona umepoteza muda chuoni hasa pale utakapoona uliemwacha home amekugap.
Asanteni
U
Mkiendekeza bata mtarudi kitaa na kuanza kuona umepoteza muda chuoni hasa pale utakapoona uliemwacha home amekugap.
Asanteni
U