Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
mpendwa inabidi tusaidiane maana humu jamvini tupo watu wa namna tofauti .hua ni faraja saana ukiona thread hasa ambayo inahusu wasomi na iko accurate.
mpendwa inabidi tusaidiane maana humu jamvini tupo watu wa namna tofauti .
Unaweza wapa na wewe maunjanja mengine wanajamii hasa wasomi waliopo vyuoni...
Wanasema sharing is caring..
unenena vyema mpendwa ,wanasema sote ni ndugu .Huo muongozo uliotoa ume-cover yalo ya msingi... ni mengi na ni first step, inasikitisha tu kua ajabu ni kwamba ni walengwa wachache wataona... na wataoona ni wachache watasoma... na watao soma ni wachache watazingatia. BUT hata kama watapatikana kumi wataozingatia katika jopo la watu woote hawa then sio mbaya....
unenena vyema mpendwa ,wanasema sote ni ndugu .
jambo la msingi tu ni msomi mwenyewe kujitambua na kuzingatia kanuni .
kama msomi huoni thamani yako kati watu million 40+ wakati kwa makadirio watu wenye degree tu hapa tanzania hawafiki laki mbili...
na thamani yako nini basi? ni kumbananua mambo kwa upeo na kuweza kuzikabili changamoto (wanaita fikra chanya)...
NATUMAINI WACHACHE WATAOPITA HAPA WATAFIKISHA HUU UJUMBE KWA WENGINE
NAWASILISHA..
hii ni changamoto mpendwa mfumo wa elimu yetu ya kitanzania una changamoto nyingi mojawapo ni hii ya ukariri (madesa orientanted ) baadala ya kutumia vitabu nakumbuka wakati naingia mlimani mwaka wa kwanza wakati tunapitishwa orientation LIBRARY nikasikia wajamaa zangu hasa wa uhandisini(FOE/coet) huko ni kwa mangwini (social science na bcom) wakati kunareserve ya vitabu kwa ajili ya engineers ( wanaita science collection unapata useful materials) haya sasa na hao ngwini ambao si engineer tulisema library ni kwa ajili yao nao nowdays huko library imekuwa sehemu ya kutongozana na kuonyeshana style za mavaziMaganga wanaojiuliza hayo maswali/maswala ya msingi ni wachache mpaka waweza pasuka kwa hasira!! Tatizo elimu yetu ni ya kukariri mno sio ya kuisomea katika vitabu; Kwamba msomi atasoma the related topic kwa vitabu mbali mbali akitumia wasomi mbali mbali na schools of thoughts mbali mbali.... Haipo. Kazi kukalili madesa tu, hio inafanya wasomi walo wasomi wawe kwa uchache saana. Tunabaki na watu wengi wenye shahada za chuo lakini ambao sio wasomi.... Sad.
ni kweli mkuu kuellimishana muhimu naamini tutaelewana tu na watu wajua majukumu yao............Mganga waukweli,kwanza nashukuru kwakua open na mpenda mabadiliko. kwakweli kama kuna jukwaa kwenye hii jf linalo kera basi ni hili la elimu,kwani wengi wawadau ni kama hatujitambui kwani mada na michango ya huku haireflect uhalisia wa wahusika yaani wanafunzi/wasomi ambao ndo wadau wakubwa. so naomba tujaribu kuangalia mada zetu na michango kama mtu huna mchango soma tu pita sio lazima kuchangia.
asante sana kwa mchango wako bora sana,nitajitahidi kuufatilia vyema.Be blessed mkuu.