Anaefanya cover za kina maria Carey??? Ataweza kuimba Ntade Comoro na akasikilizika?Waige mfano kwa Ruby
Kwanini asisikilizike?Anaefanya cover za kina maria Carey??? Ataweza kuimba Ntade Comoro na akasikilizika?
RUBY ni level nyngne bro, juzi kwenye malkia wa nguvu kaimba nyimbo zake nikaona kama zinakua nzuri zaidi akiimba live zaid hata ya nyimbo ikipigwa redioniAnaefanya cover za kina maria Carey??? Ataweza kuimba Ntade Comoro na akasikilizika?
RUBY ni level nyngne bro, juzi kwenye malkia wa nguvu kaimba nyimbo zake nikaona kama zinakua nzuri zaidi akiimba live zaid hata ya nyimbo ikipigwa redioni
Hawezi kupata wafuasi hata kidogo promoter atapata hasara, huko kuna waimba cover matata sana hata akienda nairobi hawezi Nandy unaemuona wewe anafanya kazi na willy paul hana hata fan base kubwa kama aliyinayo matonya hukohuko kwao.Kwanini asisikilizike?
Ten people's,😂😂😂 kwekwekwekwe🤣🤣🤣Yani wewe naamini kabisa hujui muziki hata kidogo, Muziki wa live unahitaji sauti nzuri?? Msikilize Babylon bayser anavyoimba live na anavyoamsha kwa sauti wewe unayoiita mbovu.
Kina Eminem, Dbanj, Casper nyovest, K.O n.k unawajua niliowataja?
Najua unataka waimbe kama Ruby sasa nakupa ushauri kashawish sponsors waandae tamasha Muscat mumpeleke Ruby mkipata 10 watu nahama duniani
Vipi hili nalo la kusimamisha ala za muziki na kuanza kuwafundisha mashabiki kuimba kila mara?Yani wewe naamini kabisa hujui muziki hata kidogo, Muziki wa live unahitaji sauti nzuri?? Msikilize Babylon bayser anavyoimba live na anavyoamsha kwa sauti wewe unayoiita mbovu.
Kina Eminem, Dbanj, Casper nyovest, K.O n.k unawajua niliowataja?
Najua unataka waimbe kama Ruby sasa nakupa ushauri kashawish sponsors waandae tamasha Muscat mumpeleke Ruby mkipata 10 watu nahama duniani
Wow! swali zuri tunakuza lugha yetu adhimu mzee, ili msanii atambue anachokiimbaga kinawafikia watu wengi lazima afanye hivyo wiki iliyopita ariana grande alikuwa na show huko kwao alifanya hivyohivyo mfatilie IG uoneVipi hili nalo la kusimamisha ala za muziki na kuanza kuwafundisha mashabiki kuimba kila mara?
Tena hao wengi mno😊😊Ten people's,😂😂😂 kwekwekwekwe🤣🤣🤣
Mmmh! nahisi wewe waweza kuwa mmojawapo wa hao WCB kwa jinsi unavyojenga na kutetea hoja. Je unadhani watu wanafurahia hilo? Mtu kalipia elfu kumi kwa mfano kuja kuimbishwa tu kweli? Ulifuatilia show za wasafi kule Kenya ukaona yale malalamiko ya mashabiki?Wow! swali zuri tunakuza lugha yetu adhimu mzee, ili msanii atambue anachokiimbaga kinawafikia watu wengi lazima afanye hivyo wiki iliyopita ariana grande alikuwa na show huko kwao alifanya hivyohivyo mfatilie IG uone
Mashabiki Nairobi hawakupata kile walichokitarajia kutoka kwa Simba ila Mombasa walikipata!Mmmh! nahisi wewe waweza kuwa mmojawapo wa hao WCB kwa jinsi unavyojenga na kutetea hoja. Je unadhani watu wanafurahia hilo? Mtu kalipia elfu kumi kwa mfano kuja kuimbishwa tu kweli? Ulifuatilia show za wasafi kule Kenya ukaona yale malalamiko ya mashabiki?
Ni kweli lakini hawa jamaa pamoja na kushauriwa kwenye page zao za instagram na YouTube hawataki kubadilika sijui kwa nini.Na tabia ya kusema piga keleleeeeeeeee nayo inakera. Mara Mbwembwe Nyingi mashabiki hawapendi. wanapenda show mwanzo mpaka mwisho