Ushauri kwa wanaume

Hapo ndo nnapokupendea miss,thanks sana! No need of I love you nyiiing,tumetamaniana tunagegedana tukipendana tunagandana,kithunguzaid

Hapo sawa mkuu nitakupa hadi uje utoe ushuhuda
 
Mpeleke pole pole atakuelewa tu. Kuna wengine ni slow motion sana but so sure!

Hahahaaa. Thanks hun. Umenifurahisha jinsi gani ulivyo muelewa na mtaratibu katika hili suala.

Am off the dating zone, married now so imebaki socializing tu and not dating.🙂
 
ni kweli kabisa mamen wamekosa ubunifu kwenye hili swala....binafsi nikiwa na demu wangu sio everytime naongelea i love u,kwa kuwa mi ni rasterman na nifundi wa kucharaza gitaa unaweza kuta smtm napiga gita anaimba au naimba na mfundisha kupiga gita,na mpa teaching za kiraster na history,anajua spendi politics wala mpira
 
hapo safi mapenzi yatakuwa matamu hapo loh... siyo i love kama wimbo wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…