Ushauri kwa wanaume

tukiwa kwa bed unaniambia baby pesa ipo kwenye droo ya katikati chini na CRDB password ni 9888 hapo mambo mswano ..joking ni kweli kutokujua now natakiwa kuongea nini ni tatizo kubwa sana


I knew hayo ndo maongezi yanayo make sense na hayakinai....


Hahaaa, kidding...!
 

aaaahhhhaaaaaaaaa umenifurahisha nakuona jinsi ulivyo choshwa na ilove u kila mara
 

Miss mie nimekuelewa hapo pa kuomba,naomba pauchi yako tugegedane tu,mengine yatafata
 


dah, nimechelewa kuuona huu uzi....
 
Nikija kutongoza ni kutongoza tuu maswala ya uchumi mwachie lipumba,Siasa mwachie Silaha ,na suala la kuchekesha mwachie mpoki au bin lkn mi shughuli ni 1.kubadlisha mada ni njia moja wapo ya kuniondoa kwenye msitari we km hunitaki niambie hapohapo ,siku nikirudia kwa mara nyingine hapo unaruhusiwa kulalamika siyo siku moja hushaanza kutafuta 7bu
 

Bila shaka #wamekuvuruga uko PM pole sana. Naomba nitumie fursa hii kudai dada zangu.

#BRINGBACKOURGIRLS .
 

Wewe kweli Mchaga!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…