Ushauri: Kwa wanaume wanaopigwa na wake zao

Ushauri: Kwa wanaume wanaopigwa na wake zao

inatokeaga

tatizo ni umario na mtapigwa sana

cc nuhu mziwanda
 
Mwanaume ukipigwa na mkeo uanaume kwishaaaaaaaaa
 
Partyrobert

Mwanamke akikupiga na ww mlipizie usiku kwenye 6*6 unakunywa MKUYATI halaf unapiga bao kama yale ya basketball au netball uone kama atarudia tena.....!!!!:closed_2:
 
Last edited by a moderator:
hahahah nyinyi mnachekesha

nyani ngavu na valentina hahah
 
kwani we mkeo amekupiga kama ndio basi kashtaki polisi ni unyanyasaji wa kijinsia huo
 
Huyo mwanamke wa kumpiga mumewe sijui huwa inakuwaje,akisumbua we mzidishie tu penzi na kumjali zaidi ya jana ndo dawa hakuna njia nyingine jamani!!
 
Back
Top Bottom