Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,057
- 1,868
Sasa mtoto ana kosa gani?Usaliti unauma sana, haswa huu wa kuletewa mtoto[emoji19].
🤣🤣🤣Naona tunafunga wiki ya watoto wa nje ya ndoa... tunasubiri wiki kesho sijui itakua ya akina nani😌
Pole mremboUsaliti unauma sana, haswa huu wa kuletewa mtoto😒.
Ni upuuzi, halafu wanakuja kusema samahani mtoto hana makosa.Acheni kuwatupia lawama wanawake kwa makosa yenu wenyewe. Wanawake hatujawahi kuwa na shida na watoto tuliowakuta kwa wanaume wetu kabla ya kuwa pamoja, tunawapenda na tunawapa haki zote za mama kwa mtoto.
Shida ni hao watoto wanaokuja baada ya kuwa pamoja.
Mimi kwakweli wakwangu nilishamwambia mapema, mtoto/watoto baada ya sisi kuwa pamoja hawatokubalika kamwe. Atapambana nao mwenyewe, ni wa kwake na mwenzie/wenzie huko.
Kuchepuka mchepuke wenyewe kulea tulee wote? Hell No!
Pole ya nini mkuu?Pole mrembo
Nikajua una maumivu ya kuletewa mtotoPole ya nini mkuu?
Nilishawahi kupitia hayo ila alikuwa ni boyfriend tu so tukaachanaNikajua una maumivu ya kuletewa mtoto
Unaongea kama umekatwa kichwa,eti wanawake hamna shida.Matukio yote haya tunayoyaona mitaani wanafanya akina nani?Acheni kuwatupia lawama wanawake kwa makosa yenu wenyewe. Wanawake hatujawahi kuwa na shida na watoto tuliowakuta kwa wanaume wetu kabla ya kuwa pamoja, tunawapenda na tunawapa haki zote za mama kwa mtoto.
Shida ni hao watoto wanaokuja baada ya kuwa pamoja.
Mimi kwakweli wakwangu nilishamwambia mapema, mtoto/watoto baada ya sisi kuwa pamoja hawatokubalika kamwe. Atapambana nao mwenyewe, ni wa kwake na mwenzie/wenzie huko.
Kuchepuka mchepuke wenyewe kulea tulee wote? Hell No!
Acha kukaza kichwa😂Unaongea kama umekatwa kichwa,eti wanawake hamna shida.Matukio yote haya tunayoyaona mitaani wanafanya akina nani?
alaaaa alaaaa alaaaaAcheni kuwatupia lawama wanawake kwa makosa yenu wenyewe. Wanawake hatujawahi kuwa na shida na watoto tuliowakuta kwa wanaume wetu kabla ya kuwa pamoja, tunawapenda na tunawapa haki zote za mama kwa mtoto.