Ushauri kwa wanaoingia chuo mwaka 2016

Ushauri kwa wanaoingia chuo mwaka 2016

hassan mdidi

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
421
Reaction score
167
habarin wana jf
nimeona nitoe ushauri kwa wanafunz wa new entry mwaka 2016/2017
{1}wasichague chuo kwa kufuata mkumbo
{2}wasichague koz hafifu
{3}wachague koz zenye fulsa za kujiajir na kuajiliwa
 
Hizo Points Zako 3 bado Hazijaleta Maana, Sijui unaogopa nini? Hebu Zifafanue ili tufaidike mana umetuacha Dilemma.
 
Bora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri
 
Kila mtu asomee anachopenda kutoka moyoni, usisome course kwa kujidanganya kwamba ina hela nyingi. Happiness is everything
 
Exactly!! Lazima usome kwa ajili ya kujiajiri na pale inapotokea bahati mbaya unaajiriwa.,..
 
Bora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri
you are not serious mkuu.umekisoma hiki ulichokiandika?
 
Back
Top Bottom