Ushauri kwa wana jukwaa hili la science na technology

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Habari wana jamvi.....

Nimekuwa interested sana na hili jukwaa kwa sababu katika jamii forums naona ndo jukwaa la pekee kuliko majukwaa yote hapa jamii forum upekee huo unatokana na umoja tulio nao wa kusaidiana na kuelekezana watu wamekuwa na moyo wa kutaka kuelewa na wengi wamefanikiwa sana kupitia hilii jukwaa hongereni kwa hili hata mimi haya maswala ya electronics yamekuwa yakiongezeka day after day kila nikiingia humu sitatoka kama nilivyo ingia watu humu hakuna matusi na wala hakuna kugombana

Leo nimekuja na swala la movies wengi wana penda kuangalia movies lakini kukua kwa science na technology kumerahisisha upatikanaji wa movies kutoka kutumia CD kununua CD na vingine lakini sahizi mtu anaweza kupata movies kwa kudownload!

Nimeona watu wakiattach videos humu na vitu mbali mbali na mimi naamini movies nilizo nazo mimi mwingine anaweza kuwa nazo au asiwe nazo naweza kuhangaika kutafuta movie kumbe mwingine anayo sasa nilicho kuwa nashauri kama kuna thread itaweza kuw stick ningeomba mods waweke na kama inawezekana (samahani mimi sio mtaalamu sana) mtu akitaka movie basi kama mwingine anayo anacho fanya ni ku attache hio movie mtu akija ana download kirahisi na hii itasaidia mtu kupata movies nyingi na nzuri,pia kirahisi kuliko mtu kuzunguka kwenye internet na mwingine huenda aka shindwa kuipata kama anayo itaka lakini kupitia hii idea yangu mtu ataipata kirahisi

Kama idea yangu haijakaa vizuri naomba nisaidieni kuiweka vizuri na ugumu wake uko wapi ili tujue na kama inawezekana nini cha kufanya

Karibuni
 
loh utawafilisi jamiiforums.

movie ni kubwa mamia ya mb mpaka gb.

let say mtu ka upload movie 1 ya 1gb halafu watu 1000 wameidownload ujue tayari bandwitch ya terabyte 1 imetumika, hivyo gharama za kuhost zitaongezeka maradufu
 
loh utawafilisi jamiiforums.

movie ni kubwa mamia ya mb mpaka gb.

let say mtu ka upload movie 1 ya 1gb halafu watu 1000 wameidownload ujue tayari bandwitch ya terabyte 1 imetumika, hivyo gharama za kuhost zitaongezeka maradufu

labda aelekezwe pa kuzipata badala ya kuomba ziwekwe hapa. kwanza upload limit ya jf hata MB 100 sidhani kama zinafika per user. afu jamaa wa muvi wamechachamaa sana wanaweza request at a site ifungwe kabisa kama sio kudai fidia ya mamilioni
 
labda aelekezwe pa kuzipata badala ya kuomba ziwekwe hapa. kwanza upload limit ya jf hata MB 100 sidhani kama zinafika per user. afu jamaa wa muvi wamechachamaa sana wanaweza request at a site ifungwe kabisa kama sio kudai fidia ya mamilioni

Mkuu UncleUber idea yako iko poa mim nilikuwa naona pia hata ukiwa una mtu link alafu aipakua kwa IDM yake ingekuwa poa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kat.ph.... Piratebay.... Kazurure huko.
 

Mkuu UncleUber idea yako iko poa mim nilikuwa naona pia hata ukiwa una mtu link alafu aipakua kwa IDM yake ingekuwa poa kabisa

ipo thread hii jf store website ambazo unaweza download direct. kipindi cha proxy zilikuwa zinatumika.
 
Last edited by a moderator:
Mbinu nzuri ya wewe kushare movie ulizonazo ni kutumia torrent. Kadiri watu watavyo pakua toka kwako ndivyo spidi inavyoongezeka.
 
Jistori reeefu kumbe unataka movie tu, si useme tu vijana wakupe link za ku download movies.

Una undugu na Mkandara? maana na yeye huwa anaandika ji stori reeeeefu jukwaa la siasa kumba anataka kusema, "napinga".
 
Kwa kushare files kubwa kama hizo inabidi tutumie P2P software kama torrents...
 
i hope sijachelewa...kwanza piratesbay bado haipo soo sad... ila kwa movies latest kuna hii site ya taiwani sijui vietnam inaweka zote unacheki online hata kwenye simu kama nifanyavyo mimi

ila ifungue kwa kutumia google translate una play na unaweza kudownload kwa idm ukasave kwa pc yako.

I REPEAT ANY MOVIE AMBAYO IPO KWA TORENTS HAPA IPO ONLINEEE..

Phim Mới | Phim hay | Xem phim nhanh | Xem phim online | Phim HD vietsub hay nhất

Kwa google translate

Google Translate


MOVIES ZINA SUBTITLE ZA KINGEREZA NA SAUTI YA KINGEREZA.
cheers!!!
 

Mbona nashindwa kuplay na kudownload
 
Copyright wakuu! Yasije kumkuta Max yale ya Kim dot com wa Megashare.. pia bila kusahau wale wa Pirate Bay kule Sweden.. Jamii forums tech and gadgets forum ibakie tu kwa ajili ya kusaidiana kwenye masuala ya technology na sio kujiingiza kwenye macho ya FBI, MPAA,au Interpol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…