Ushauri kwa walioko madarakani

Ushauri kwa walioko madarakani

nkongo

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
84
Reaction score
14
Tumefurahi sana watoto wa mitaani kubeba kombe la dunia kule brazil.lakini wanananchi na watawala wetu wamejifunza nini ktk hili.
sisi tunafurahi lakini dunia nyingine wanatushangaa kwa kutelekeza watoto mitaani ambao wako footballers,doctors nk.
watawala wetu wanafundishwa how they should have plan on it na sio kushangilia good result.a leader must lead the followers
 
Kwa kweli ni fundisho kubwa . Watoto hawa wana vipaji vikubwa ni budi jamii na serekali kubuni mikakati ya kutowapoteza watoto hawa. Mimi huwa najiuliza kwa risk wanazochukua mfano kuondoka bila kujua wanakwenda wapi watakula nini , nani anawatunza ni risk kubwa anmbayo nadhani ina kitu ndani yake.
 
Back
Top Bottom