Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

hivi wakuu kama una bima unatoa laki moja pia ya matibabu kama ambao hawana bima??
 
thanx ambao computer engeneering nawaomba kuuliza
 

Kaka kuna utaratb gan wa kubadl chuo ukishachaguliwa? Msaada plz
 
hivi wakuu kama una bima unatoa laki moja pia ya matibabu kama ambao hawana bima??

Issue ya bima kwa udom ni utata ndg bt kwa maelezo ya web ya chuo kama una bima unatakiwa kulipa 49600 although hili jambo mwaka jana tuliligomea. bt karbu udom
 
Kaka kuna utaratb gan wa kubadl chuo ukishachaguliwa? Msaada plz

Kubadili chuo inawezekana kabisa bt case huwa inakuja ukipata mkopo mara nyingi mkopo wako huenda kile chuo ulichokimbia so waweza soma mwaka mzima mkopo wako haujafanikiwa kuhamishwa.
Kwa hatua za kuhama chuo waweza fika ofic za tcu kama upo karibu nazo
 
DAAH!!HUU UZI ULINISAIDIA SANA NIMEMALIZA SALAMA BAED NASUBIRI KUVAA JOHO!!
 
usafiri wa kufika Bachelor of Art in Project Planning, Management and Community Development (BAPPM&CD) nipande basi lipi naomba msaada wenu
 
KAMA kuna group LA BSCE udom Naomba tujuane mwaka wa kwanza (Computer Engineering)

Mpaka ssa sijapata joining instruction
Nilipata second round msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…