Utaenda utawala Mkuu pale mtafute mtu anaitwa Pro Msofe director wa undergraduate.Mueleze anaweza kukusaidia ila itategemea anaweza kukataa tu na wala usimfanye kitu na kama una boom na una hamia coz ambayo haipo allocated ndio tabu kabsa.
Ushauri naitaj..nmepata nafas ya kujiunga na open university kusomea masters of science in economics by executive module..ila baadhi wanaponda elim ya OUT.so kwa mwenye uelewa wa kiusomi..naomba anipe ushaur.
Kwanza nikupongeze Jacob kasanga umepata Bahati ya kusoma coz nzur swala la ajla kwako ni la kufkia tu,unatakiwa ufundishe vyuo vya ualimu wa waalimu wa watoto ila kwa Tanzania yetu nadhan utaishia kufundsha secondary ila sio mbaya bado una nafasi nzur,swala la mkopo ni kuomba Mungu Mr Jacob ila Nina iman utapata kuna watu nawajua wamesoma hyo coz na walipewa mkopo
mi nimechaguliwa udom education with ICT naomba ushauri wenu ni mambo gani ya kuwanayo pia vip habari ya registration Lakini ukiweza waweza nipa ushauri wakunisaidia ahsante. email ni evangelistemygidiusgeorge@gmail.com kwa personal advice.