CIVE unayoisema naifahamu sana mazombie wacheza game ndio wanafel kwa ufala wao na co ubaya wa chuo na ww kama ni mmoja wao lazma ulidisco na nakipongeza chuo kwa kuondoa mapema ------ ww mana ungeharibu cfa endapo ungegraduate ungeendeleza uajuza wako wakucheza game had kazin, course za computer zinahitaji mcngi mzur na mtu mbunifu na wakujituma co ww unatoka huko na EGM wit BBC (born b4 computer) unataka uwe software engeneering wap na wap ndugu. Ukichagua UDOM jiandae kusoma aswaa la cvyo utarud kwenu mapemaa afu ndio mmaokuja kutapka tapka takataka humu jf na social networks zingne. Sasa nasema hivii "WANAOSEMA UDOM CHUO CHA KATA, CHUO CHA KATA MAMA ZAO."
mmhhhsentensi ya mwisho hiyo,
Kwa msisitzo "WANAOSEMA UDOM CHUO CHA KATA, VYUO VYA KATA MAMA ZAO" namaanisha nisemacho.
pole sana kaka,shule imekushinda ww,hata lugha yako inaonyesha elimu unalazimisha tu,sio kosa lako lakini,ni upungufu wa akili au umaskini wa mawazo,pole sanaacha umalaya wa fikra ,kumiliki simu sio kigezo kukufanya uwe na lugha nzuri. Nahisi kwako wewe mzungu akisema ---- ,unafurahi sana .ila mie kusema ms?*7. Ndio imekuwa nongwa kwako ,hadi umeenda kwenye umiliki wa simu.
Narudia kusema dodoma ni chuo cha kichoko.
Nenda info (cive) uone kama wazenj wana feli.
We bado mtoto kojoa ukalale.
Namna ya kupata admission letter UDOM ingia hapa
The University of Dodoma
But kwa bachelor degree students ni mpaka saa kumi na moja jioni
Namna ya kupata admission letter UDOM ingia hapa
The University of Dodoma
But kwa bachelor degree students ni mpaka saa kumi na moja jioni
Namna ya kupata admission letter UDOM ingia hapa
The University of Dodoma
But kwa bachelor degree students ni mpaka saa kumi na moja jioni
wanaanza kuleta siasa now wamechange tangazo
Hahaha safi sana.....wivu tu umewajaa hawana jipya
UDOM Harvard of Africa
we r weighting for it
alafu ndo unajiita mwana chuo mtarajiwa ata hujui kutofautisha waiting na weighing ...shame π
Tell em tell em bway..ππππ