we unaleta utani, kutoka town mpaka chuoni kwa mguu ni kama saa limoja au mbil afu kuna bonge la mlima,
hahaaaa unataka kwenye swiming na games
Nooo sio swimming pool. Nilikuwa naulizia kuhusu Mama Ntilie maana Ndo nasikia Wapo humanities ila sio social
Wajasi WaPo karibu na hyo swimming pool,ukishafka fka hapo kwenye swimming unawaona waleee! Kwa chini wanauza vyakula vya bei nzuri mm huwa natumia 40000/= chakula kwa mwezi mzima
Wajasi WaPo karibu na hyo swimming pool,ukishafka fka hapo kwenye swimming unawaona waleee! Kwa chini wanauza vyakula vya bei nzuri mm huwa natumia 40000/= chakula kwa mwezi mzima
Daaah 40000/= hapo Pananifaa aisee hata Kama Nipo Social Nitakuwa Natembelea Humanities. Special for wajasi
na canteen vipo msosi wao
na kutoka earth science mpaka hapo humanities kuna umbali gani
Hahaha. Cha msingi wewe ulizia kama earth science kama Mama ntilie ( wajasi) wapo.
kwa udom usipopewa mkopo una weza hussle mpaka mwisho bila mkopo au ndo yatakuwa mengine?
Kwa nilivyoambiwa cafeteria service food ni tsh 2500 Ngoja wenye experience waje watuambie
Wali maharage/mbogamboga 1000
Wali nyama 1500
Wali samaki 2000
Ndizi nyama 2000
Ugali pande 1500
Ugali mishikaki miwili 1500
Wali kuku 2500
Cafeteria zinazopika chakula kizuri ni mbili moja inaitwa TAJI ipo social science nyingine BREAK POINT ipo humanities hii iko poa zaid n tawi la Ile iliyopo posta Dsm opposite na club bills..