Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
- Thread starter
-
- #41
Ndo maana mimi nimeona nilikubali hili janaume langu ambalo lilitoaga machozi wakati linanitokea japokuwa ki sura sio handsome sana ila imesaidia nimekuwa mtu wa amani kuliko lile li bwana lisharo bar😵k wito wangu ni kuwa masharobaro stress tupu pia sio maoaji wala sio matashi kwenye utunzaji wa familia jamani tafuteni mafighters hata kama hana kazi jaribu kuiangaria hii trait ya ufaiter maisha yamebadirika siku hizi endekezeni usharo baro utakuja kula vimodo vyake.
Haha av never been one, so as you may guess, siyajui.
Ningependa kuyafahamu mara tu upatapo ujumbe huu kwani nina hamu ya kuyaanza majukumu haya ASAP!!!:rockon:
watu8 nimemtaja tu kama mfano wa watu ambao unatakiwa unikinge dhidi yao. Kwani kuna ubaya kuitwa kidumu?au kisaidizi cha ndoo basi
watu8 nimemtaja tu kama mfano wa watu ambao unatakiwa unikinge dhidi yao. Kwani kuna ubaya kuitwa kidumu?au kisaidizi cha ndoo basi
Kwako Mrembo by Nature, I meant wewe unaniita mimi 'kidumu' basi mimi nikuiteje wewe? 'kidumu' pia au kuna jina ambalo na wewe unastahili kuitwa?
brother mzabzab inasmuch as I agree with you sidhani kama approach uliyoichukua ni sahihi.
Kumbuka walisema, "You can not control what happens to you but you can dictate your reactions towards what happens to you."
Mimi nilishawahi kuumizwa na kudanganywa way back in 2010 I guess, at first nilireact kama wewe. Nilikuwa kicheche balaa..I was in kenya by then i guess katika makabila yote 42 labda nilibakisha 7 hivi. But later nilikaa nikawaza gain ninayopata from that because (sijui wewe) kila nilipofanya na kuumiza zaidi nilijikuta na mimi naumia maradufu and instead of kumsahau aliyenitenda I was harboring more pain and hatred in my heart. mwenzangu ananenepa tu na maisha yake mapya.
I later decided kuwaepuka kabisa mpaka wanichukie. Yani we can be friends and all that lakini mapenzi, mahusiano na ngono..:nono::nono::nono:. Ushaona mtu anakuchukia kwa sababu humtongozi wala humuombi 'cherry' despite signs zote alizokuonesha? That is my revenge...
Waulize kina babu Asprin kabla hajampata Matesha, babu Dark City kabla ya mama DC, kaka Mtambuzi kabla ya Mama Ngina..they all have stories of being hurt and heartbroken ila haiwi sababu ya kujiharibia maisha because of a single soul that didn't deserve your love and heart.
😛layball:
Je wewe una NDOO ? kama huna basi angalia kama naweza kushika nafasi ya ndoo, kama unayo basi itabidi niitwe tu KIDUMU no way
well uzuri wa dunia ni kwamba people are unique. what works for u myt no necessarily work for the next person. i like the stress free world of no attachment to women or having to deal with the endless dramas. kujiangamiza...well thats debatable becoz as long as one engages in sex they are putting their lives at risk....
And that is where my point lies. <bold>
Again, pamoja na kuwa tupo unique, sidhani uhuru wako wa kuwa unique ni kwa kuchagua kujiumiza kila siku. Believe me, hata ukikataa, deep down your heart unazidi kuumia kila mara unapomgegeda demu na kumuacha...
Anyway, bado hujachelewa to see this side of life am presenting to u!!!:yo:
nikweli kabisa sikuhizi wadada wapo after money, no money no love matokeo yake ndio hayoo! Tusiwadharau wenye vipato vidogo kwani ipo siku na wao Mungu atawainua nakuwa na mali kama wengine. Kwani kuna mtu anayezaliwa na mabilion mkononi jamani? Tuache dharau na tujifunze kupitia huyo muhanga.
And that is where my point lies. <bold>
Again, pamoja na kuwa tupo unique, sidhani uhuru wako wa kuwa unique ni kwa kuchagua kujiumiza kila siku. Believe me, hata ukikataa, deep down your heart unazidi kuumia kila mara unapomgegeda demu na kumuacha...
Anyway, bado hujachelewa to see this side of life am presenting to u!!!:yo:
And that is where my point lies. <bold>
Again, pamoja na kuwa tupo unique, sidhani uhuru wako wa kuwa unique ni kwa kuchagua kujiumiza kila siku. Believe me, hata ukikataa, deep down your heart unazidi kuumia kila mara unapomgegeda demu na kumuacha...
Anyway, bado hujachelewa to see this side of life am presenting to u!!!:yo:
well i beg to differ and here is why;
kwanza kabisa mie nilichukulia hilo kama fundisho...a lesson learned kwamba if ur true desires is to gegeda mwanamke then ya nini ukae unapoteza muda kubembelezana while in the end wether unaenda kwa malaya au demu wakaiwa yote sawa tuu. ni sawa kwa sababu
1) kugegeda malaya au kugegeda demu wakawaida u are guilty of the same sin in God's eyes na sio human eyes
2) either way utalipia hiyo papuchi interms of hard cash or interms of services rendered.
so that being said i found it better kuenjoy na malaya becoz...
1) am free of the lady drama
2) hamna siku ambayo nataka alafu napigwa stop becoz demu yupo kwenye siku zake
3) nabadilisha taste nitakavyo
4) no guilty conscious ya kuwa nimecheat
i am fully cognizant of the fact that any human being will always find a way/example to justify their so called ways or life/belif/actions. this difference is where i as am horrable has one may picture me to be, i see a sense of double standards on the part of those who engage in so called bf/gf relationships which in essence have become a euphemism for sexmate.
mbona umecopy nusu? copy story nzima kwenye wall yangu fb
Hahaha ngoja kwanza mmeze dozi ya mwisho ifanye kazi nisije wa overdose ika react mwilini mkafa bure
mbona umecopy nusu? copy story nzima kwenye wall yangu fb
maweeeeeeeeeduh...!
All the best brother...will come back later saiv nawish tu man city afungwe..as i wait our game!!!
Hongereni kwa jana.
Btw, ebu ni pm ur fb name nimsaidie kuipaste yote...!!!