Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
[FONT=comic sans
ms]Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela
haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu
haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke
aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini
akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe
ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa
maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........
"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE
MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO,
UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA
WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE
KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.
USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE
MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO
MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA
HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE
NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU
NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA
ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA
KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU
AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".
Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.[/FONT]
asante kwa ushauri wako mzuri, noted.
Leo hujapiga makavu live?
Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........
"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO, UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.
USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".
Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.

nikweli kabisa..... na mabilion mkononi jamani? Tuache dharau na tujifunze kupitia huyo muhanga.
Hapo kwenye red hapo umenikuna
hakukuwa na haja ya kuquote ujumbe wote.
Iyo ya red uliyobold ingetosha
Teh teh teh JF bwana
Hapo umefurahije, ila na wewe mzabzab sio bure kuna kitu wadada walikutenda hadi kufikia kuwa na msimamo uleeee wa kugegeda na kusepa