technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,697
- 58,744
Wekeni mgomo wa kutotangaza habari zote za serikali mpaka serikali iache kuingilia uhuru wa vyombo vya habari.
Ishinikizeni serikali ipeleke mswada bungeni wa kufanya Tasinia ya habari iwe nguzo ya nne yaani baada ya;
Executive
Judicial
Parliament
Then Media
Hatuwezi kwenda popote kama hatua vyombo vya habari imara na vilivyo na uhuru tumeingia utawala tofauti unataka tuone giza si nuru.
Vyombo vya habari msikubali wakitoka hapo sisi tutajuaje wanaweza anza kuwaandalia taarifa za habari?
Kama waliweza kuwapa picha moja ya Mwanza mkakubali kuitumia kwenye magazeti siku ile. Baada ya hapo kuwapangia mwongozo wa vipindi baada ya hapo hakutakuwa na chochote kitakachoendelea.
Wekeni mgomo wa kutotangaza habari za serikali hata 1 month baada ya hapo kitakachotokea tutaeshimiana.