Ushauri kwa Vyama vya Upinzani

Heri

JF-Expert Member
Aug 28, 2007
553
440
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani. Nini iwe strategy ya vyama vya upinzani ile viweze kutoa changamoto kwa CCM.
Mimi nadhani , kwanza vyama hivi vingekubaliana kusimamisha mgombea mmoja iwe kwa wabunge au madiwani. Kila mmoja akisimamisha mgombea , watagawana kura na mwisho wa siku chama tawala inashinda.
Pili wange prioritize maeneo ya ku concenrate. Vyama vya upinzani vina following kubwa zaidi kwenye urban areas ukilinganisha na rural areas , ambako kwa sehemu kubwa CCM ina nguvu.
Kama wanaweza kuwa na muungano wa vyama , ingekuwa bora zaidi.
 
Back
Top Bottom