Ushauri kwa vijana wa Tanzania

Ushauri kwa vijana wa Tanzania

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,676
Reaction score
81,656
Zama hizi ukitaka kufa kwa Msongo wa Mawazo basi hakikisha hauna fani yoyote.

Fani ni muhimu, kama hauna ujuzi unategemea cheti chako cha chuo kikuu basi kazi unayo.

Hakikisha unajitofautisha, usiwasubiri wanasiasa waje wakupangie maisha.
 
Upo sahihi kabisa mkuu.

Sijutii kutenga muda kujifunza Digital Marketing.

Nilichokuja kugundua ni kwamba siyo kwamba ajira hazipo,

Ajira zipo Ila ulimwengu wa sasa wanaopewa nafasi ni Wale wenye ujuzi ambao unaweza kuleta matokeo.

Kupitia kujifunza Masuala ya Digital marketing, ukiachana na Social media marketing ambayo nayo inalipa sana, hii Search engine optimization (SEO) ni kitu muhimu sana katika biashara yoyote Ile Duniani kwasasa.

Jenga ujuzi uache kutembea kutafuta kazi badala yake makampuni ndiyo yakutafute wewe ufanye nao kazi.

Siyo rahisi Ila INAWEZEKANA.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
uko sahihi !

Na waangalie sana ujuzi unaoenda na musa angalau kwa sasa ajue hizi artificial intelligence na blockchain hata internet of things(IoT) ambayo inakuwa huko mbele ili atambue soko lianandaje naona sana ajiri kuzidi kuwa ngumu huko mbeleni
 
Upo sahihi kabisa mkuu.

Sijutii kutenga muda kujifunza Digital Marketing.

Nilichokuja kugundua ni kwamba siyo kwamba ajira hazipo,

Ajira zipo Ila ulimwengu wa sasa wanaopewa nafasi ni Wale wenye ujuzi ambao unaweza kuleta matokeo.

Kupitia kujifunza Masuala ya Digital marketing, ukiachana na Social media marketing ambayo nayo inalipa sana, hii Search engine optimization (SEO) ni kitu muhimu sana katika biashara yoyote Ile Duniani kwasasa.

Jenga ujuzi uache kutembea kutafuta kazi badala yake makampuni ndiyo yakutafute wewe ufanye nao kazi.

Siyo rahisi Ila INAWEZEKANA.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mkuu I need to learn digital marketing nipe hints
 
Mkuu kujifunza digital marketing kunahusisha hatua kadhaa ambazo unaweza kufuata ili kufanikiwa katika uwanja huu.

Hapa nimekuwekea hatua chache unazoweza kuzingatia mkuu:

1. Kuelewa msingi wa digital marketing.

Hii inajumuisha kujenga uelewa wa misingi ya SEO, PPC, uuzaji kwa njia ya barua pepe (Email Marketing), mitandao ya kijamii, na mengine.

2. Kuweka malengo yako.

Ni muhimu kujua malengo yako ya kibiashara na jinsi digital marketing inaweza kukusaidia kuyafikia.

3. Kujifunza kutumia zana za digital marketing.

Hii inajumuisha kujifunza jinsi ya kutumia Google Analytics, AdWords, Facebook Ads, na zana zingine za digital marketing.

4. Kutengeneza mkakati wa digital marketing.

Hii inajumuisha kuweka mkakati wa kujitangaza kupitia tovuti, mitandao ya kijamii, kampeni za barua pepe, utafiti wa maneno muhimu, na zaidi.

5. Kutengeneza maudhui bora.

Hapa unatakiwa kujifunza jinsi ya kuandaa maudhui bora ambayo yatarahisisha kukuletea wateja.

6. Kutekeleza na kupima mkakati wako.

Baada ya kutengeneza mkakati, ni muhimu kuutekeleza na kupima matokeo yake ili ujue ni kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi kazi.

7. Kujifunza na kuboresha.

Digital marketing ni uwanja unaobadilika kila wakati, kwa hiyo ni muhimu kuendelea kujifunza na kuboresha mikakati yako.

Sasa ili kuelewa yote hayo vizuri unaweza kujifunza kupitia YouTube au majukwaa mengine yanayotoa kozi hizo.

Lakini pia kama Utahitaji muongozo kamili katika kujifunza tunaweza kuwasiliana PM au simu 0752026992.

Kozi kamili ni 270,000 kwa mwezi.

Kujifunza kipengele kimoja kimoja bei ni kati ya 20k-30k.

Kama Upo Dar itakuwa poa zaidi kwasababu tutaonana na kufanya vyote kwa vitendo.

Kama Upo mkoani tutatumia Zoom.

Kama utakuwa na swali lolote unaweza kuniuliza hapa hapa au PM.

Powah mkuu
 
Back
Top Bottom