Je, Kuna timu yoyote ile kutoka Zanzibar iliyoshiriki katika michuano hii!?
Je, Kuna makubaliano ya pamoja kati ya TFF na ZFF juu ya uedeshaji wa pamoja wa michuano hii!?
Je, Kati ya mashirika hayo mawili, lipi ndilo mmiliki na msimamizi wa michuano hiyo?
Je, Kuna muinguliano wa mipaka ya kijografia katika uendeshaji wake?
Je, Tukirejea historia, kuna jambo kama hili limewahi kufanyika toka kuzinduliwa kwa michuano hii?