Ushauri Kwa Tundu Lissu

Uko sahihi kabisa. Anaweza kupublish hizo papers zake and the like after registering at a renowned university watamkubali. Uko sahihi kabisa PhD by dissertation
 
Lissu has never impressed me hata awe na titles zipi.
Charity begins at home, You Get the concept


Your Father has impressed??????

Who?????

Mention the name rather than your blood related!!!!!!!
 
Kwa msomi aina ya Lissu akisoma PhD kwa njia ya "sandwich program" ingalimfaa zaidi kutokana uelewa wake mpana kwa vitendo katika masuala ya sheria.
exactly! Sandwich inamfaa zaidi
 
Hafai na amekua mbunge miaka 10 let alone Rais wa wanasheria? Kuna watu sijui mna reasoning ya ajabu sana. JPM na ukichaa wote ule alikua Rais ndio sembuse Lissu kuwa kiongozi?
 
Lissu has never impressed me hata awe na titles zipi.
It doesn't matter, ana impress the Chadema fraternity na wote waliompigia kura 2020.

Hao wote walimfuata wewe hata 10 huwezi washawishi, alafu eti hakuimpress? Kwani who the hell are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…