Umeelewa uzi mhishimiwa?Kwamba Lissu anataka kusoma PhD?
Hivi watu wakiambiwa wachague mtu mwenye akili kati yako na Lisu nani atachaguliwa?Lissu has never impressed me hata awe na titles zipi.
Halafu wala hakufahamu.Sasa inasaidia nini?Teh teh!Lissu has never impressed me hata awe na titles zipi.
Mzee Tundu 😂😂😂Ushauri ni mzuri tu.
Huko mbeleni au kama si hivi karibuni ataanza kuitwa Mzee, kwa mila na tamaduni za Mtanzania hii inatosha.
Na ataitwa hivyo kwakuwa ni kweli atakuwa anafikia umri fulani wa kuitwa Mzee-ila kuna hili Mzeee, Ni heshima kubwa sana ambayo mtu huwa anapewa hata pale akiwa kijana....tunajipindisha tu lakini huo ndio Ukweli, sio rahisi mtu kupachikwa jina Mzee alimtmradi tu. Mara nyingi hufuatiwa kwa mambo,vitu, maneno, vitendo vinayoambatana na tabia fulani..ambayo anayeitwa huwa inamfuata, hata ikiwa alikuwa mtongozaji maarufu mtaani, au mcheza bao maarufu wa mtaani..au mtu mwenye upendo na watu mtaani au mtu mwenye pesa mtaani ambaye utamkuta ndie mwenye gesti mtaani au nyumba kadhaa n.k n.k Yaani watu wenye heshima fulani....
sasa haya mambo ya kuiga wenzetu yanaboa....Daktari, Sheikh, Professor, millionea , bilionea n.k yote ngeni tu na ndio tunazidi kuchanganyikiwa....
....Kuna utamu fulani vile kwa Kiswahili mtu kuitwa Mzee na mara nyingi huwa inafuatia na tabasamu....umeona wapi Unamwita mtu Doctor au Shehe au Bilionea na mtu akatabasamu?/ukatabasamu(najichekesha hapa) wapi? Ikiwa hivyo basi kwa namna moja au nyingine inakuwa kejeli ya kidizaini tuu! Kha
'Mzeee bwana'! Hapo lazima uta tabasamu.
'Mzeee Lissu'.
..wee wacha wee Kiswahili kitamu.
Ninapinga Tundu Lissu kuitwa Daktari au kuongezewa title yeyote ile ya Kidhungu! Napendekeza Mzeee Tundu au Mzeee Lissu.
Kwa msomi aina ya Lissu akisoma PhD kwa njia ya "sandwich program" ingalimfaa zaidi kutokana uelewa wake mpana kwa vitendo katika masuala ya sheria.Kwa heshima na taadhima you need a more elite salutation before your name . Your name should be preceded by a more scholarly salutation, that is Doctor (Dr.).
Avoid hizi PhD za kugawiàna kama maandazi za akina Kikwete and Co. Ltd.
Please embark on PhD studies in Law!
Angalizo: Usithubutu kusoma PhD Kwenye vyuo vya hapa. Watakusumbua!
Daktari Lissu au Daktari Tundu Lissu wala haina lafudhi🤓Mzee Tundu 😂😂😂
Haswa. Nakazia.Kwani CHENGE ana Doctorate? Mbona ni Nguli wa SHERIA?
Ngozi nyeusi Kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo.
Mbona Mbowe ni kidato Cha nne, aligombea Urais? Angeshinda angekuwa Rais.
Wananchi tunaangalia AKILI na maono ya kiongozi Si vyeti feki kama vya Mwigu anayejiita mchumi.
Msitake Lissu awe kama idd amini dada ambaye Kila cheo kikubwa alijipachika!!!!
Akiitwa NDUGU, TUNDU ANTIPAS LISSU inatosha.
Msimjaze ujinga.
Ngozi nyeusi Kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo.
Mmh TL hahitaji PhD ili awe vizuri vile alivyo.Kwa heshima na taadhima you need a more elite salutation before your name . Your name should be preceded by a more scholarly salutation, that is Doctor (Dr.).
Avoid hizi PhD za kugawiàna kama maandazi za akina Kikwete and Co. Ltd.
Please embark on PhD studies in Law!
Angalizo: Usithubutu kusoma PhD Kwenye vyuo vya hapa. Watakusumbua!
Mugabe yule lofa alikuwa na Degree 7.Msitake Lissu awe kama idd amini dada ambaye Kila cheo kikubwa alijipachika!!!!
Akiitwa NDUGU, TUNDU ANTIPAS LISSU inatosha.
Mbona hata wewe haujawahi kumimpress mkeo huku title unazo!Lissu has never impressed me hata awe na titles zipi.