Ushauri kwa simba yangu

Ushauri kwa simba yangu

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,280
Reaction score
4,579
Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee.

Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe hasa na viongozi walioko kwenye maamuzi ya timu, ushauri wenyewe ni kuwa KUNA WACHEZAJI WENGI SANA WAZURI
AFRICA MASHARIKI
Nazungumzia Kenya, uganda, Rwanda, Burundi, Congo,South sudan na Hapa nchini wakiwemo Feitoto, Bangala, kipre junior, Elvis rupia n. K

Siwashauri hata kidogo kwenda kuchukua wachezaji kutoka nchi za mbali ambao mmewaona wakicheza mechi moja au mbili au kupitia clips za youtube, madhara ya hiki ni kupata wachezaji sampuli ya kina Jobe au Babacar sarr.
Fanyieni kazi huu ushauri.
 
1000061527.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom